Must see Movies

Dark Waters (2019) - Drama
Inahusiana mwanasheria mmoja anaipeleka mahakamani kampuni moja kubwa la kemikali kwa kuchafua vyanzo vya maji kupitia kemikali zake.

Huku hakuna ngumi ni story tu!

Kuna vitu nimejifunza kupitia hii filamu[emoji848]
 
Inataka kufanana na kitabu kimoja kinaitwa an enemy of the people
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…