lost cousin
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 212
- 369
Just imagine unaishi kwny haunted mansion halafu unajua kuwa kuna ghosts wanakusumbua lakn kumbe kiuhalisia ww ndio ni ghost unawasumbua watu.[emoji16][emoji16][emoji16]Hii ni bonge la movie mtunzi aliitulia sana
Visa vinajifunua pole pole mwishoni ndio unaisoma movie yote.BTW ni ya kuogofya kidgView attachment 2570001
[emoji16][emoji16]aisee.. hii kesho naipakuaJust imagine unaishi kwny haunted mansion halafu unajua kuwa kuna ghosts wanakusumbua lakn kumbe kiuhalisia ww ndio ni ghost unawasumbua watu.[emoji16][emoji16][emoji16]
Season 2 ndo mwishoShukrani za dhati kwa alieshauri tuangalie Alice in Borderland. Nilianza kuangalia kama utani nimekuja kushtuka tu saa 12 jioni ishaingia hofu yangu sasa ni kwamba hii season ya pili naenda kuimaliza usiku huu na season 3 haipo!
Mbona walishaweka wazi kwamba hii imefika mwisho na hawataendelea tena, labda itokee kampuni wafanye remake lakini wanatumia characters wengineTutegemee chochote kitu kutoka kwaoView attachment 2570377
Me nimekutana na pic uko mitandaoni ndo maana nikaja nayo kwa wadau wa movie humu nikijua mzigo utatoka wa sitaMbona walishaweka wazi kwamba hii imefika mwisho na hawataendelea tena, labda itokee kampuni wafanye remake lakini wanatumia characters wengine
Ndio nipo namalizia season ya pili mkuuSeason 2 ndo mwisho
Isitoke tu maana itakuwa imejaa upinde .Tutegemee chochote kitu kutoka kwaoView attachment 2570377
Sure kama star mwenyewe ni upinde pro unategemea nn apoIsitoke tu maana itakuwa imejaa upinde .
Black Americans?!
NdioBlack Americans?!
Ok thanks mkuuNdio
Inahusu sanasana maisha ya Black Americans. Haijagusia sana maisha ya watu weupe ila origin ya hiyo series ni U.S.A na main settings ni Los Angeles.
Tutajie jina. Hicho Kichina sijui Kikorea hatuwezi kukisomaMnaopenda movie za kupigana huu mzigo unawafaaView attachment 2572131
KILL BOKSOONTu
Tutajie jina. Hicho Kichina sijui Kikorea hatuwezi kukisoma
Au ndio ile inaitwa The Killer: A girl who deserves to die