Must see Movies

Netnaija Avatar: the way of water ina GB mpaka nimeogopa na vi mbs hizi wi-fi inahusika
 
Hii ChatGPT imeshaniharibia siku nimeiomba karibu mara kumi initajie muvi zenye damu nyingi inakataa, Hadi nimeinyenyekea. Shenzi kabisa [emoji35][emoji35]
Sasa nimerudi kwa JF expert naihitaji muvi yenye damu nyingi kuanzia 2017 hadi 2023. Ile Headshot sijaangalia kwa sababu ya kutokuwa na access nayo, Jigsaw pia sina access nayo.
Sasa naomba mnitajie muvi nyingine zenye damu nyingi, vurugu, kuvujishana ubongo n.k
 
[emoji16][emoji16]movie zenye damu nyingi!! Bot lenyewe halijui likusaidiaje?! Headshot mkuu umezunguka site zote umeikosa?!.
 
Mkuu hivi umeicheki Furies (2019) naona nayo ina kuuana na ni horror. Kuna mtu kanitajia leo ila bado sijaishusha!
 
Kaka pitia hapa japo ni za zamani lakini naamini itakata kiu yako
 
Texas chainsaw massacre (2022) angaLia hiyo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…