Must see Movies

Animation zenye ushoga "strange world " imetoka mwaka jana hii dogo wa kiume anampenda mwanaume mwenzake na wazazi wake wanamsaport kwenye hilo " LIGHT YEAR" hii mwanamke anampenda mwanamke mwenzake na mpka wanafunga ndoa na kuzaa mtoto
Kuna hii inaitwa The Croods: A new age 2020
Hii hawajaongelea ushoga lakini naona director ameweka elements za ushoga ndani yake. Kuna jamaa wawili siwaelewi vitendo vyao kwenye hii animation

Mbaya zaidi sisikii watu wakilalamikia hii animation. Hii ndio sababu iliyofanya nianze kuangalia muvi za Kikorea, Ila naona sikuhizi Wakorea na wenyewe wanafuata mambo ya wazungu mfano Project Wolf, muvi kali kabisa ila ina ushoga [emoji706][emoji706]
 

Attachments

  • Screenshot_2023-04-13-14-26-59-439_org.videolan.vlc.jpg
    21.2 KB · Views: 10
Na alieua anakuwa sio yeye maskini ni yule mdogo wake...ila aliamua kum-protect

Very nice story
Yeah iko very touching pale mwishoni.... Na nilivyo emotional sometimes ndio maana huwa sipendi movie za drama..
Kuna moja nimeangalia jana inaitwa "Cha Cha Real Smooth" iko poa sana icheki kama vipi utuletee na mrejesho.
 
Hii Croods ina mambo ya ushoga[emoji848][emoji848]
 
Umeionaje mkuu...hiyo Bird Box sijawahi kuichek
Nzuri mno, Sandra anatakiwa ku-move from place moja hatari ambayo ukiona mwanga unakufa, kwenda sehemu nyengine salama akiwa na wtt wawili...mmoja wa sister wake ambae alikufa na mwengine wa mdada stranger tu nae pia alikufa. Yaani tangu wtt wachanga mpk wanafikia 5 years ndio wanafika hio safe place
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…