princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
sio wao tu hata watu wazima wapo wanapenda ubishoo...Vijana walio.maliza masomo ya from five na six hao huwezi kuwaambia kitu muvi za mashatobaro
Black Americans wana ule umarekani mwingi binafsi huwa nauona michosho[emoji16]aisee hapana [emoji23][emoji23] tena yakiwa yale maisha ya hood ndo kabisaa nachefukwa
Hapo sasa ndo umenielewa, yani umarekani mwingi unachosha sana, ndo mana mi nashindwa movie za design hioBlack Americans wana ule umarekani mwingi binafsi huwa nauona michosho[emoji16]
Tuendelee kuangalia wazungu weupeHapo sasa ndo umenielewa, yani umarekani mwingi unachosha sana, ndo mana mi nashindwa movie za design hio
Ntaipata wapi hii mkuu nimepita netnaija haipo[emoji23][emoji23]kuna vigongo vikali sana mkuu vya miaka ya nyuma mfano check movie inaitwa Shawshank redemption ni ya 1994 inaongoza kwa rate kubwa imdb ina 9+ uko bonge moja la movie alaf mimi sasa nimekuja lidownload mwaka jana mwishoniView attachment 2517692
Link iyo ya YTsNtaipata wapi hii mkuu nimepita netnaija haipo
Aliigiza...sina hakika kama ni production yake lkn nzuri mno. Action storyHiyo nayo ni ya Sandra?; Sijawahi kuicheki kesho ntashuka nayo
Mie movie iwe nzuri tu hata kama ya 1901 ntaangaliaNyinyi mna moyo sana. Mimi nikidownload movie chini ya 2022, nafsi inanisuta kabisa[emoji28][emoji28]
Nitaicheki piaAliigiza...sina hakika kama ni production yake lkn nzuri mno. Action story
CarterOhayaaaa hivi movie gani kali za kijasusi za korea mazeeeee hizi za kule west ni. Ushoga bin kwenda mbeleee
Halafu unakuta mbayaa[emoji16][emoji16]Dah nimeenda kudownload fatal raid nikidhani ni the raid hapa nalia na bando langu
Title yake hawajasema ni quality ipi? Ila kama una wasiwasi nayo ni heri uache maana bando lenyewe lilivyokuwa expensive halafu unakuta ni cam vers.[emoji16]Wakuu nipo chanel fulani ya telegram nimeona wametupia john wick 4 halafu mb 949 hii sio cam version kweli?
Hawajasema mkuuTitle yake hawajasema ni quality ipi? Ila kama una wasiwasi nayo ni heri uache maana bando lenyewe lilivyokuwa expensive halafu unakuta ni cam vers.[emoji16]
Wamecheza wachina mbovu balaaaHalafu unakuta mbayaa[emoji16][emoji16]
Pole sana bossWamecheza wachina mbovu balaaa
SpartacusNaomba mnitajie muvi kali ya kuchinjanachinjana, kuuana vibaya, kutoana makoromeo, kuvujishana ubongo, kupasuana makende, kukatana miguu, kutoboana macho, kumwagana utumbo na wanaonesha mauaji yote bila kuficha chochote, yaani damu ziwe zinatapakaa kila dakika ya muvi. Sijali iwe na story mbaya au nzuri, yoyote ile cha msingi mauaji yawe ya ovyo ovyo tu.
Muvi ya namna hii naihitaji sana, iwe kuanzia 2018 kuja juu. Nitawashukuru sana mkinitajia jina.
Lifestyle ya Black Americans mbona inakosha tu. Au ndio mambo ya taste [emoji28][emoji28]Black Americans wana ule umarekani mwingi binafsi huwa nauona michosho[emoji16]