Must see Movies

Mimi siku hizi napitia tu huu uzi nikiona muvi imetajwa naisoma kwanza kabla sijaishusha,nikishaamua kuishusha nitaiangalia bila kutegemea maajabu sana, I just watch tu iwe mbaya au nzuri ntaangalia tu! Suala la kujutia bando langu nakuwa nimeshalivuka the moment nimefikia uamuzi wa kuishusha. Niamini huwa siumii moyo kwa kile nitakachokutana nacho kwenye muvi. Mfano hapa nashusha Secret Obsession, nitakachokutana nacho nimeshauandaa moyo wangu kukubaliana nacho
[emoji23][emoji23][emoji23] Pole sana.
Kudownload movie ni kama pata potea. Waweza kupata au kupat
 
Nimemaliza kuiangalia hapa nimeipenda ni muvi nzuri. Alieipendekeza shukrani sana🙏
 
Wanakuwaga nazo chache chache za angalau unaweza kupotezea muda still ukainjoi
hii kitu ni kali sanaaa japokuwa ni ya zamani

yaani mpaka ujue story yake inaendaje ni mpaka movie ifile katikati

yaani huku mwanzo kote unaweza usijue kabisa movie iko hivi kumbe

kuna akili sana imetumika humo binafsi nimeipenda sanaaaa

usiangalie sana mambo ya actions kma unavyowajua wahind jpo hta actions ziko nzur kiasi chake.
 
Watu tuna flavor tofauti mkuu. Movie unaweza ukaiona mbaya au usiipende lakini mwenzio kaipenda. Binafsi huwa naangalia ratings na reviews kwanza, nikiona chache najua gharasa hiyo japo sio mda wote inakuwa hivyo.
 
NAENDELEA KUSISITIZA ASSASSIN CLUB IKITOKA MNISTUE HARAKA SANA.

Huko kwenye cinema imetoka juzi
 
A
Sijawahi tumia hayo madude ku download movies
Acha uvivu unataka muvi unapewa link unaanza kurukaruka.
1. Download u-torrent program/app kwenye simu
2. Bonyeza hiyo link na muvi yako itaanza kudownload automatically
 
Acha uvivu unataka muvi unapewa link unaanza kurukaruka.
1. Download u-torrent program/app kwenye simu
2. Bonyeza hiyo link na muvi yako itaanza kudownload automatically
Shukran mkuu nilihitaji maelezo Kama haya
 
Mwaka Jana mwishoni mpaka leo hii ndio kipindi ambacho nimeanza ramsi kufuatilia movies na series mbali mbali, kiukweli hii Ni burudani tosha kabisa ingawa nilikuwa mpenzi wa miziki
Na hii ndio listi yangu mpaka sasa
Black panther 1 and 2
Carter
Death on the nile
All of us are Dead
Mad Max
Red notice
Fifty shades of grey
Jurassic world Dominion
Plane
Bullet train
The man from Toronto
Black widow
The gray man
Old guard
The woman king
21 bridges
Uncharted
Extraction
The last of us
Shang chi and the legend of ten rings
Project wolf hunting
The night agent
Hakika ukizitazama utaburudia sana
 
Yani hizo zote za moto [emoji91][emoji91]
 
project wolf hunting ni ya kipuuzi mnoò
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…