Must see Movies

Sipendi kutumia browser. Kupitia app naperuzi vizuri zaidi na ipo very simple. Napenda navyo scroll up kwenye uzi halafu comments zinapanda tu sina haja ya kuload page mojamoja japo nayo mwanzoni ulikuwa unaload page mojamoja.
Mimi natumia zote app na browser
Ile ya browser inaonesha picha zote na kama mtu akireact emoji ya kucheka inakuonesha. Hii app hata mtu akireact emoji ya kucheka inakuonesha kuwa amelike post yako badala ya kucheka.
Ile ya browser inaonesha kama kuna mtu anatype. Mfano "Reuben is typing" kama WhatsApp tu
Ile ya browser ni nzuri kama unajua thread unazoingiaga zinakuwa na picha nyingi. La sivyo utakosa kuona picha nyingi sana
 
Yeah kwenye browser kuna features nyingi nyingi [emoji106]
 
Kuhusu bel air season 1 and 2
-Inaburudisha mno
-Kama kijana mpambanaji itakufunza vingi
-kama mzazi au mlezi pia itakupa somo
Kina Mr Q mnaopenda action always hakika mnakosa vitu amazing kwenye hi series
Nmeshachukua season 1. Naitafutia siku ambayo niko bored nianze kuishusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…