Must see Movies


Nashukuru kwa kuniita hapa... Ila hii makitu aisee ilinipita kushoto!!!
 
Mtambuzi mimi mdau wa series.tuwekee series mpya basiii
Series mpya za mwaka huu nnazozijua mimi ni Intelligence US, Chicago PD, killer women, Hizo zote ndo kwanza episode 1, true detective inatoka siku mbili zijazo,me napenda sana series za aina hiyo, sipendelei mastori tu bila upelelezi waakili au actions
 
shukran aisee ntazitafuta napenda sana za intelligence na kijasusi
 
Fixed Point, BelindaJacob & Heaven on Earth hii movie nayo ni bomba sana, Dicaprio kafanya vitu vyake ila ni ndefu sana masaa matatu. Kama nafasi itawaruhusu itafuteni na hii pia.


Nilishaiona hii BAK. What a crazy life of Dicaprio. Kitambo sana niliona The Wall Street & Wall Street: Money Never Sleep za M.Douglas, greed is good ha ha🙂 Hivyo ilikuwa ni mwendelezo fulani wa Wall Street issues.

The Monumets Men, umeiona? Clooney & M.Damon ndani etc
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…