Must see Movies

Terrifier 2
Kama unahitaji kuona muvi ya mauaji mabaya na ya kikatili basi angalia hii itakufaa.
Humu story yake ni ushuzi mtupu, jamaa anaua bila sababu za msingi Ila nimeipenda Sana
Haya ndio mauaji niliyotaka kuyaona kwenye movie [emoji23][emoji23]
Natamani Hollywood waendelee kutoa muvi nyingi za aina hii [emoji16][emoji16]
 
Mzee wa visusio[emoji16][emoji16] umecheki na evil dead za nyuma?
 
Ile movie jamaa walijipanga sana. Actions za kibabe, kuna pale amezama kwenye ziwa halafu jamaa wanamfata hukohuko majini anawala kichwa kila anaemfata harudi[emoji16][emoji16]
Pale walivomnyonga akaamua kuchomeka kidonda kwenye msumari uliopinda ili apate balance asife kwa kukazwa na kamba 😬😰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…