Halafu anatumia hewa ya kwenye mapafu yao.Ile movie jamaa walijipanga sana. Actions za kibabe, kuna pale amezama kwenye ziwa halafu jamaa wanamfata hukohuko majini anawala kichwa kila anaemfata harudi[emoji16][emoji16]
Anatumia hewa kwenye mapafu yao kiaje mkuuHalafu anatumia hewa ya kwenye mapafu yao.
Muvi hiyo imenifundisha mambo makubwa matatu
1. Uvumilivu
2. Tafuta mali kwa jasho lako lote
3. Linda KWA DAMU YAKO YOTE mali uliyo ipata kwa jasho lako lote .
Kuna umwagaji damu?Alooo hii kitu hiiiView attachment 2631115
Hv Joker inangumi?Yan kwa dc hizi ndo top best kwangu japo ni za wayback
View attachment 2631178View attachment 2631179View attachment 2631180View attachment 2631181
Bado sijacheki Ila kwa kuangalia Evil Dead Rise ya 2023 inaonekana kuwa za nyuma nazo hazina mauaji ya kikatiliMzee wa visusio[emoji16][emoji16] umecheki na evil dead za nyuma?
Yule dingi suala la kuogopa ndo hana alitoboa tank la mafuta yakawa yanamwagikia yule mjerumani katoa order mbwa waachiliwe mzee akajitia kiberiti[emoji28]Halafu anatumia hewa ya kwenye mapafu yao.
Muvi hiyo imenifundisha mambo makubwa matatu
1. Uvumilivu
2. Tafuta mali kwa jasho lako lote
3. Linda KWA DAMU YAKO YOTE mali uliyo ipata kwa jasho lako lote .
MasterpieceYan kwa dc hizi ndo top best kwangu japo ni za wayback
View attachment 2631178View attachment 2631179View attachment 2631180View attachment 2631181
evil dead za mwanzo alizocheza Bruce Campbell haziko terrified kihivyoBado sijacheki Ila kwa kuangalia Evil Dead Rise ya 2023 inaonekana kuwa za nyuma nazo hazina mauaji ya kikatili
Ila nitaangalia Kwa sababu kwenye Evil Dead Rise kuna mambo mengine nayapenda tofauti na damu. Napenda Jinsi watu wanavyopanic na kufight for survival, napenda zile scene za kushtua, napenda pia kuona wanahusisha damu kwenye supernatural movie na pia napenda kuona mwishoni wanabaki survivers wachache [emoji28][emoji28]
Joker sio action movieHv Joker inangumi?
Dah pale unyama mwingi, ile scene nilirudia mara mbili[emoji16]Halafu anatumia hewa ya kwenye mapafu yao.
Muvi hiyo imenifundisha mambo makubwa matatu
1. Uvumilivu
2. Tafuta mali kwa jasho lako lote
3. Linda KWA DAMU YAKO YOTE mali uliyo ipata kwa jasho lako lote .
Leo naangalia ile ya nyuma 2013Bado sijacheki Ila kwa kuangalia Evil Dead Rise ya 2023 inaonekana kuwa za nyuma nazo hazina mauaji ya kikatili
Ila nitaangalia Kwa sababu kwenye Evil Dead Rise kuna mambo mengine nayapenda tofauti na damu. Napenda Jinsi watu wanavyopanic na kufight for survival, napenda zile scene za kushtua, napenda pia kuona wanahusisha damu kwenye supernatural movie na pia napenda kuona mwishoni wanabaki survivers wachache [emoji28][emoji28]
Ni comedy nn maana sijawahi kuionaJoker sio action movie
2013 hamna kituLeo naangalia ile ya nyuma 2013
Hostel nilichek zote tatu mkuu2013 hamna kitu
Bora ucheki hii hostel ya 2005
ila ya 2 na kuundelea ni upupu sanaaa.View attachment 2631579
Comedy zpo kidogo lakin genre ya movie ni crime,drama&thriller
cheki hyoHostel nilichek zote tatu mkuu
Yts sijaionaAseee john wick4 tayr imetokaa kwenye digital platforms mwenye link ya telegram channel nidownload wakuu
Ni crime ileHv Joker inangumi?