clifford20
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 205
- 307
Mnunuaga Gb ngp izoNyingine imebidi zisubiri kwanza ππ
Swala sio GB ngapi. Swala ni kuwa unapenda muvi? Kama jibu ni ndio huwezi kuwaza kuhusu MB. mission ya kwanza ni kupata muvi kwanzaMnunuaga Gb ngp izo
Nitakupa mfano. Kulipia tiketi ya kuangalia muvi huko cinemax miaka fulani ilifikia hadi dola 9 ambayo ni zaodi ya Tzsh. 18, 000/- sasa ukispend 2000 ukapata muvi kutakuwa na hasara?Mnunuaga Gb ngp izo
Nakbl bingwwSwala sio GB ngapi. Swala ni kuwa unapenda muvi? Kama jibu ni ndio huwezi kuwaza kuhusu MB. mission ya kwanza ni kupata muvi kwanza
[emoji16][emoji16]hakuna namnaNyingine imebidi zisubiri kwanza [emoji3][emoji3]
Ghosted ya chris evans imejaaa mastaaa haswaa πGuys tafuteni Ghosted ni movie nzuri Sanaa kuliko hata Club assassin
Mbona wanasema ni ya kawaida?View attachment 2633035
Chuma icho apo
Wanasema!! WaoMbona wanasema ni ya kawaida?
Hamna movie hapoMkuu ushaichek hii... Hapo naowaona wote ni wazee wa low budget movies. Yani nikionaga filamu zao huwa sitegemei maajabu kabisa
Nimeidownload nikaishia kuifutaHamna movie hapo
Dah haijanisaidia bdo, nki download subtitle nkiend kwny movie haij sijui nakwama wapDownload hii app then ukifungua unaweza nenda apo internal kisha ukaselect kwenye movie yako alaf utadownload zitakuja subtitles nyingi apo utachagua View attachment 2632194View attachment 2632197
Asante ngoja nijaribu hii njiaTumia app ya VLC media player na kila kitu itakachokuomba u-allow. App yenyewe ni 30MB tu
Ukidownload movie Ingia VLC play hiyo movie, kuna sehemu ya kusearch subtitles iko built in kwenye app. Ukishindwa uliza
Subtitles uliyodownload inakuwa kwenye folder nahisi linaitwa movie nenda kwenye ilo folder limove kwenye folder ya hyo movie yako itakuwa tayari au laa tumia tu VLCDah haijanisaidia bdo, nki download subtitle nkiend kwny movie haij sijui nakwama wap
Hii Njia imenisaidia shukran ndug ngoj ni enjoy ss [emoji123]Tumia app ya VLC media player na kila kitu itakachokuomba u-allow. App yenyewe ni 30MB tu
Ukidownload movie Ingia VLC play hiyo movie, kuna sehemu ya kusearch subtitles iko built in kwenye app. Ukishindwa uliza