Ndo unaiona leo? Mi nilisha irudia mara 2 hivi. Zinazo fananazo ni olympus has fallenWHITE HOUSE DOWN , ni moja kati ya movies za moto sana. Hakuna anaejua movie nyingine yenye mfanano na hiyo?
Alaf iyo ghosted mmeitaja sana ngoja kesho niidownload kwanzaHuyo demu star ndo amecheza kwenye GHOSTED kama umeichek
Hivyo ndo vitu tunapendaMkono wa kutosha
Theme yake ni comedy na ngumiAlaf iyo ghosted mmeitaja sana ngoja kesho niidownload kwanza
Bado haijatoka HDWakuu mmeangalia Guardians of the Galaxy vol 3
Yeah najua...nilidownload cam version moja ipo clean sana ndio nikawa naangalia. Binafsi kuna mambo hayakunivutiaBado haijatoka HD
Uliidownload site gani mkuu?Yeah najua...nilidownload cam version moja ipo clean sana ndio nikawa naangalia. Binafsi kuna mambo hayakunivutia
Siwezi kutoa maoni sababu sijaiona ila naisubil kwa hamuYeah najua...nilidownload cam version moja ipo clean sana ndio nikawa naangalia. Binafsi kuna mambo hayakunivutia
kuna Homeland pia...Kwa upande wangu series ya The Americans ndo series bora ya Ujasusi kama kuna nyingine nitajieni ilaa hii nimeinyooshea mikono[emoji119][emoji119]
NB: Nazungumzia Series sio single movie
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Ipo goojara.to na pia fzmovies.netUliidownload site gani mkuu?
Ukiicheki uje hapa utupe mrejeshoSiwezi kutoa maoni sababu sijaiona ila naisubil kwa hamu
Yeah nilisearch nyingine za mfanano na The Americans nikakuta nahiyo Homeland wameiweka juujuu ntaitafuta.kuna Homeland pia...
The Americans walivaa sana uhusika kuanzia Elizabeth, Philip, Paige na hata yule FBI aliyelewa na na penzi la Nina. Hii nina mpango wa kuirudia tena.
Mzee kama hujawai kuicheki HOMELAND itafute faster ni moja kati ya series kali sana na za kijasusi hii inamatukio mengi ambayo yanasisimua na kukupa pressureYeah nilisearch nyingine za mfanano na The Americans nikakuta nahiyo Homeland wameiweka juujuu ntaitafuta.
Alaf nmekuja kusoma kumbe wale mke na mume kiuhalisia wameoana kweli(Elizabeth na Phillip)
Mkuu hii goojara je ni zaidi ya Netnaija, na kuhusu Quality yake ya movie na je bando lake la movie mwisho huwa kwa movie kubwa ni ngapiIpo goojara.to na pia fzmovies.net
Ila ya goojara ndio ipo clean sana
Goojara movies zina quality nzuri kushinda netnaija. Na hata mb pia zipo nyingi maana quality ni kubwa nyingi 720p hivi hata za 1080 zipo utaweza kuta hata 1GB na kuendelea.Mkuu hii goojara je ni zaidi ya Netnaija, na kuhusu Quality yake ya movie na je bando lake la movie mwisho huwa kwa movie kubwa ni ngapi
Ukiitaka kuipata jeGoojara movies zina quality nzuri kushinda netnaija. Na hata mb pia zipo nyingi maana quality ni kubwa nyingi 720p hivi hata za 1080 zipo utaweza kuta hata 1GB na kuendelea.
Ila kwa fzmovies unaweza kuchagua high quality au low. High quality mara nyingi unakuta less than 800MB ni around 600 - 700MB
Netnaija kule movies zote ni low quality japo kuna nyingine still zinaonekana vizuri tu. Kama unaangalizia kwenye simu sio rahisi kugundua kama quality ndogo mpak utumie kioo kikubwa
Ingia kwenye moja ya hizo sites then search utaipata tuUkiitaka kuipata je
Ngoja niipakue sahviMzee kama hujawai kuicheki HOMELAND itafute faster ni moja kati ya series kali sana na za kijasusi hii inamatukio mengi ambayo yanasisimua na kukupa pressure