Must see Movies

Wadau mambo vipi?
Kuna movie moja hivi ya Don Yen iyo movie jamaa anajifanya kama hajui kupigana lakini akikuotea moja umekwenda na maji, kuna askari akawa kama anamuhisi hivi mshikaji kuwa ndo anaeuwa.
Nimesahau jina lake nilionaga tu mwanzo mwanzo kwa watu nikashindwa hata kuimaliza na kuijua jina mwenye anaeijua anitajie.
 
Inaitwa WU XIA au DRAGON.
 
Wadau app gani nzuri ku download movies za kichina na Korea?
 
Ina hii kaipost huyo jamaa ila hajaweka caption
Hao wawil wanaenda kunilipua
Hao ni mume na mke kama sikosei mke kavishwa mabomu jina la muvi hafakaharaka silikumbuki. Ila mission yao haikutiki baada ya kugundulika.
Kama nimekosea wadau wanisahihishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…