Denzel na Travolta wamecheza vizuri sana kwenye Pelham 123. Nadhani katika Weekend Box office itakuwa number 1 movie this weekend na kutokana na watu walivyojaa jana na reaction yao through word of mouth ina uwezo kabisa wa kufikisha $100 million. Ni suspense kuanzia mwanzo hadi mwisho. Itafutie muda ukaione.
Hii itakuwa one of the worst movies ever made, maana wameanza kuitangaza tangu mwaka jana November.