Must see Movies

Mel Gibson ni mtu ninayemuheshimu sana katika tasnia ya muvi tangu enzi za A man without a face, the Patriot, we were soldiers, lethal weapons ukiachana na directorial roles kama Apocalypto na Passion of Christ ila hajwahi kunikera kama kukubali kuigiza such a flop muvi kama hi mpya ya dragged into concrete akiwa na kina Vince Vaughn na Michael Jai White mtu mbaya (sijui nae kipi kimemkumba kukubali kuact hii movie, Bora hata triple threat.) Muvi Ni libaya hata halielezeki, hata rotten tomatoes wameipa low ratings. Huwezi compare hata na kitu cha Ben Afleck Cha triple frontier

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masta kamba kwa mtaani kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna muvi moja niliicheki mwaka 2013. Jamaa kahamia kitaa akaenda kumuomba jirani yake waende bar kula bata. Bar demu wa muhamiaji nahisi alibakwa jamaa akaamua kutembeza kichapo kwa wabakaji kumbe bar yote lao moja jina limenitoka anayeifahamu tafadhali


get well soon tl
 
Anaejua movie kali inayofanana na troy aiseeh embu ashee hapa.

Hiyo movie huwa siichoki najikuta tu nikikosa movie ya kucheki nairudia.

Mti wenye matunda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…