Ha ha! Ati narrative story tu hivyo haihusu chochoteSasa mile 22 ina ugumu gani na wewe kuielewa au umeniona zezeta sana ile si ipo kwa mfumo wa Narrative story anasimulia Matukio then yanaonyeshwa taja nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mile 22 wameipa promo ila sio kali kivileMe nazani ilipo kuchanganya wewe ni anapoonyeshwa anasimulia afu mala action na upande wa iko owais kama nimepatia jina na kile kikosi cha Russian's basi wewe ndo ukaona inaumiza akiiili kweli na kwa upande wa watu wengine [emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Jm kuhusu movie za Terminators zote huwa. Iko ktk mtindo wa future, present and past.. Kama imeziona zote bas hii dark fate haikupi shida kuielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
The Blair Witch ProjectNisaidie Movie za KUTISHA
Sio mazombe lakini, movie fulni usiku maovyo ovyoo
Pia Movie Fulani ivi watu wanaeda somewhere kutafuta vitu vya thamani afu kinacho wakuta
Msiba[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji41] nazitamani saana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyingine...Nisaidie Movie za KUTISHA
Sio mazombe lakini, movie fulni usiku maovyo ovyoo
Pia Movie Fulani ivi watu wanaeda somewhere kutafuta vitu vya thamani afu kinacho wakuta
Msiba[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji41] nazitamani saana
Sent using Jamii Forums mobile app
Me nataka za aina au zenye maudhui ya Final destination.Nyingine...
Cabin in the Woods
Quarantine(hii no "found footage " iangalie mchana 😎)
Doom
House of Wax
The Evil Dead(2013)
yaani zenye ajali ajali?Me nataka za aina au zenye maudhui ya Final destination.
Ndioyaani zenye ajali ajali?
The HappeningNdio
Asante mkuuThe Happening
Knowing
Za maudhui haya niliziona chache
inaridhisha ila ya kitotoaliyeiona movie ya Sonic ya jimmy carry naomba anipe overview kama ni nzuri au mbaya