Must see Movies

Napataje movie with English subtitle
Movies nyingi za YTS siku hizi hawaweki na subtitle file kwenye folder zao, hivyo ukitaka subtitle ingia www.yifysubtitles.com tafuta kwa kutumia jina la movie na mwaka, movie nyingi utakuta zina subtitle nyingi za English chagua yenye votes/likes nyingi download itakuwa kwenye zipped file; extract baada ya hapo utapata .srt file hilo ndio utaweka kwenye movie yako.

Kama njia hiyo huitaki tafuta movie ambazo tayari zimewekwa subtitles, zinakuwa na file format ya .mkv
 
Zinaji - Save Kabisa Mkuu? Au Ni Online Tu? Movie Ikiisha Inabaki Vilevile Haina Subtitles?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habarn,nmetumia telegrm kupakua movie nikafanikiwa ila asubuh naangalia znaonekana sijazipakua,znataka nipakue tena ...kuna maujanja yoyote ya kufanya nizipate maana nmekesha nikipakua..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…