Hizi ni movie ninazozipenda katika kila genre; 1. Face/Off (Action, Thriller)Nitajie movies nzuri zenye story za kuvutia nikawatch?
watched the movie. it is fantastic goodKali vibaya mno nimeielewa content zimepangiliwa afu jamaa wapo serious na kazi mzee kwa Upande wangu naipa rate 4/5.View attachment 1447893
Send Us!ng K!toch! [emoji19]
anabelle , chucky, conjuring na the nun ni kutoka idea mojaJe Annabelle [emoji23][emoji23] au The Doll yaki Turkish [emoji19].
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta hizi;Nisaidie Movie za KUTISHA
Sio mazombe lakini, movie fulni usiku maovyo ovyoo
Pia Movie Fulani ivi watu wanaeda somewhere kutafuta vitu vya thamani afu kinacho wakuta
Msiba[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji41] nazitamani saana
Sent using Jamii Forums mobile app
th
Tafuta hizi;
The living dead 1,2,3,4
return of the living dead 1,2,3,4
The Mummy
Conjuring 1,2,3,
Annabelle
It 1,2
the nun
insidious 1,2
I know What You did in the Last Summer !,2,3
Promethius
From Dust till Down
Friday 13 etc
dark fate was out of my expectations. Mpaka leo judgement Day ni bora kwangu katika terminator seriesBig people can't act crazy movie! Ni vile tu wewe hujaelewa.
Hicho kituNisaidie Movie za KUTISHA
Sio mazombe lakini, movie fulni usiku maovyo ovyoo
Pia Movie Fulani ivi watu wanaeda somewhere kutafuta vitu vya thamani afu kinacho wakuta
Msiba[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji41] nazitamani saana
Sent using Jamii Forums mobile app
dark fate was out of my expectations. Mpaka leo judgement Day ni bora kwangu katikaBig people can't act crazy movie! Ni vile tu wewe hujaelewa.
★Hii Return of the living dead nilishaiona kitaambo ilikuwa unantisha mpka nataka kufa kipindi hicho [emoji23]★
kuna hii movie ni nowma
kwa wale wanaopenda movie Za akili,pigo za blackmirrorView attachment 1406291
View attachment 1406287View attachment 1406288View attachment 1406289
[/QUOTE
Angalia mkuu.. you will enjoy.
Ongeza na hizi... The incredibles zoote , zootopia , big hero 6, bolt, inside out, the princess and the frog, and oooh the last one - The Croods” this is [emoji91]
dark fate was out of my expectations. Mpaka leo judgement Day ni bora kwangu katika
Kwa mara ya kwanza nilimuita mtu aingie kwa niaba yangu ubanda koz nliogopa kumalizia hiyo moja ya hizo movie. Sikumbuki ni ipi lakini nakumbuka inaanzia dead person anafanyiwa uchunguzi katika maabara kisha analianzisha panakuwa hapatoshi....hapo niko primary na hiyo ilikuwa movie ya mwisho ubanda ilianza saa mbili na nusu
Shusha app inaitwa telegram ni kama kaka yake na whatsapp kisha utakuta sehemu ya kuseach vitu ingiza jina la muvi unayoitaka tafuta ikija anza kuishushaWadau natumia simu ya android, naitaji kuwa nadowload movies, Msaada nitumie njia zipi kufanikisha
Thanks mdau ngoja nijaribuShusha app inaitwa telegram ni kama kaka yake na whatsapp kisha utakuta sehemu ya kuseach vitu ingiza jina la muvi unayoitaka tafuta ikija anza kuishusha
Sioujaribu we shusha chap uanze kula uhondoThanks mdau ngoja nijaribu
Movie inakuja kueleweka mwishoni alafu kale katoto na makelele yote yale mi ningemfungia kwenye gari kama jamaa alivyofanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdau iyo ista mbona inazingua , nkiandika jina la movies inanletea mambo ya subscribers ,hata sielewiSioujaribu we shusha chap uanze kula uhondo
Wewe umedownload instagram au telegram?Mdau iyo ista mbona inazingua , nkiandika jina la movies inanletea mambo ya subscribers ,hata sielewi
Unaiserch vp ukiwa kweny app ya Telegram, au Kuna bot maalumu?Shusha app inaitwa telegram ni kama kaka yake na whatsapp kisha utakuta sehemu ya kuseach vitu ingiza jina la muvi unayoitaka tafuta ikija anza kuishusha
Telegram humohumoUnaiserch vp ukiwa kweny app ya Telegram, au Kuna bot maalumu?