BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Sijaiona BJ ila nimesikiliza reviews zake ambazo ni very positive hata ya kwanza pia sikuiona. Nataka kwenda kuiona Thor lakini machale yananicheza.
Okay, weekend hii nitaenda kuicheki..am sure ni vichekesho kwa sana ila sijui kama itanibamba vile..will keep you posted!..hiyo Thor sijaifikiria BAK..enjoy ukienda!!
Bootleg? hell no mimi nina channel kutoka jikoni siyo bootleg wala nini kama unataka si useme niku hook up na movies?.
Nimeshawishika kuidownload...nchi gani!!?Nataka kuiona hii movie
Nimeshawishika kuidownload...nchi gani!!?
Well not always but atleast i do it sometimes....At least inaonesha you do your own dirty work...
Well not always but atleast i do it sometimes....
Hahah nchi gani zaidi ya South Africa inaweza kutoa movie ya quality nzuri kama hii....Nimeshawishika kuidownload...nchi gani!!?
Lil Wizzy ehhh?!Wow!So niambie partner....kwanini unacheza na music lakini movie unachezesha wengine!?I always do that with music never with movies... infact nimedownload some music juzi..Hapa nasikiliza continuously one of them wa Lil Wyne... kaloa humu ndani na HOW TO LOVE...
Should have known...alafu hivi nlikwambia asante kwa GANGSTA PARADISE?!Maana nliamua kuitafuta baada ya wewe kuweka trailer mahali na nikaipenda kweli kweli!!Hahah nchi gani zaidi ya South Africa inaweza kutoa movie ya quality nzuri kama hii....