Ngoja na mimi niivutie pumzi!!!Ndo naipotezea mda nione , make zile za nyuma nilikuwa mpenzi wake View attachment 1771468
Ndio mkuu , wamechanganya hatari inavoanza na inapoelekea hahahahaa inahitaji moyoMortal kombat hii?
Kwa kiasi imekuwa kinyume na matarajio yangu.
Ile ya kwanza ya mwaka 1995 inabaki kuwa no1 kwangu. Story, cast atc.Ndio mkuu , wamechanganya hatari inavoanza na inapoelekea hahahahaa inahitaji moyo
⁷/10 rates sio mbayaNgoja na mimi niivutie pumzi!!!
Ile kweli ndo bonge moja la movieIle ya kwanza ya mwaka 1995 inabaki kuwa no1 kwangu. Story, cast atc.
Mbona naona review mzuri kidogo ni ya IMDb ambao wametoa 63% huku RT wakiwa wameipa 54%, ingawaje kila moja ina uzuri wake na ubaya wake!!⁷/10 rates sio mbaya
movie tamu hii
bonge moja la mzigo,yule m Russia na gang lake waliingia choo ya kike cha mr NobodyNOBODY
Mr Nobody ana mzee wake, hahah yule mzee mhuni sana, kifupi hii ni moja ya movie nzuri sana yenye action kali sanabonge moja la mzigo,yule m Russia na gang lake waliingia choo ya kike cha mr Nobody
Jamani jamani..Naombeni majina ya move zenye unyanyasaji wa kiwango cha kidunia..
Yani ule unyanyasaji ambao hata shetani mwenyewe anatokwa machozi..
1- Girl In The Basement
2-
3-
4-
5-
Nitarudi kusema asante.............................
Ila kama una roho nyepesi ni ngumu kuimalizaMiracle in cell no. 7
A must watch
Naombeni majina ya move zenye unyanyasaji wa kiwango cha kidunia..
Yani ule unyanyasaji ambao hata shetani mwenyewe anatokwa machozi..
1- Girl In The Basement
2-
3-
4-
5-
Nitarudi kusema asante.............................