Mjombaa binamuMovie nzuri sana hii, haizungumzwi tu, ila ni bonge la movie
Hii ni balaa sanaa
Kwema mjomba?habari za masiku mjombaMjombaa binamu
The Godfather... Movie flani hivi za kiutu uzima, umafia sana, Al Pacino1. The Inglorious Basterds
2. The Good, The Bad and The Ugly
3. The God Father
4. Enemy at the gates
5. Schindler's List
6. American Gangster
7. Scarface
8. Tinker Taylor Soldier Spy
9. The Dark Knight Rises
10. The Fugitive
11. Judas and the black messiah
12. A Few Good Men
13. Inception
14. Full Metal Jacket
15. V for Vendetta
Mwenye link ya kupata "Virtuoso" naomba aniwekee hapa
Nani kaangalia Hush!!?
Nice one
Kuna moja inaitwa SAS RISE OF BLACK SWAN hii movie imekwenda shuleView attachment 1913115View attachment 1913116
Dats ma Boy [emoji23]Bonge la dude huyo dada namuelewaga.
Hii ni balaa sanaa
The doorman [emoji91][emoji91]Huyo Ruby Rose kasimamia kweli kweli kuwa ANTAGONIST (Jambazi) kwa kifupi namzimikia na ninamwelewa kwenye kila Movie atakayotia mkono wake kaangakie VANQUISH na THE DOORMAN utaelewa nachomaanisha
Angalia na Bella Mafia.The Godfather... Movie flani hivi za kiutu uzima, umafia sana, Al Pacino
Ile ya kikorea?Iris 2 ni hatari
Ndio naipenda sanaIle ya kikorea?
Shukrani, acha niitafute bossAngalia na Bella Mafia.
Movie nzuri sana sana.
Nisaidie link mzee niishusheNdio naipenda sana
Nisaidie link mzee niishushe