Lizzy Gangasta paradise ni mimi ndio niliweka bana, mbona mapenzi mengi kwa ekyilipzi.Should have known...alafu hivi nlikwambia asante kwa GANGSTA PARADISE?!Maana nliamua kuitafuta baada ya wewe kuweka trailer mahali na nikaipenda kweli kweli!!
Hahhahha kumbe ni wewe bana...here you go ASANTE SANA X-PASTER niliipenda sana.Nikipata nafasi ntairudia!!!Lizzy Gangasta paradise ni mimi ndio niliweka bana, mbona mapenzi mengi kwa ekyilipzi.
Ah ah ah, usijali Lizzy, tafuta hii movie Skin, ni ya South Afrika, pia Sometimes In April ni ya mwaka 2005 hii ni inahusu yale mauwaji ya kimbari kati ya Wahutu na Watusi, kama ulisha wahi kutazama Shooting Dogs (Beyond The Gates) na Hotel Rwanda, basi utaipenda hii pia.Hahhahha kumbe ni wewe bana...here you go ASANTE SANA X-PASTER niliipenda sana.Nikipata nafasi ntairudia!!!
Dah inabidi ninunue hard disk ili zote nnazoambiwa nizidownload na kuziweka hata kama sina muda wa kuangalia mpaka ntakapo kua nao....asante tena X-Pastor ntaitafuta.Alafu gangsta paradise nilimwambia mtu mwingine aangalie nae kaipenda sana!!Ah ah ah, usijali Lizzy, tafuta hii movie Skin, ni ya South Afrika, pia Sometimes In April ni ya mwaka 2005 hii ni inahusu yale mauwaji ya kimbari kati ya Wahutu na Watusi, kama ulisha wahi kutazama Shooting Dogs (Beyond The Gates) na Hotel Rwanda, basi utaipenda hii pia.
Poa lizzy.Dah inabidi ninunue hard disk ili zote nnazoambiwa nizidownload na kuziweka hata kama sina muda wa kuangalia mpaka ntakapo kua nao....asante tena X-Pastor ntaitafuta.Alafu gangsta paradise nilimwambia mtu mwingine aangalie nae kaipenda sana!!
Nina hamu saana na hii movie, nimeisikia and my instincts tells me i will love it....
Yaani mie hata sikuishtukia kabisa. Juzi nilikuwa naangalia kipindi cha entertainment ndio nikaiona wanaipromote na baadaye nikaingia Utube kuangalia trailer kwa kweli nimeipenda nadhani itatengeneza sana, ila wapenzi wa Muziki wa Justin wameanza kulalamika kwamba amekuwa idle upande wa muziki for too long hivyo wanamuomba arudi katika ulimwengu wa muziki naye anadai kwenye muziki kishajitengenezea jina hivyo sasa hivi ameweka mkazo zaidi kwenye movies ili huko nako awe among the top Hollywood actors ili aweze kupata movies zenye mvuto zaidi na ambazo kwenye box office zinaweza kuingiza hata mabilioni. Karibu tena jamvini Asha.
Walimtangaza saana kabla hata hajaanza shooting... nime observe
kua story line ni nzuri thou nina wasi kama kweli Timberlake will do justice to it...
Hata hivyo kuhusu music i trust him for Timberland hufanya kazi nzuri saana
juu ya jamaa... na akituliza akili lazima ataporomosha nondo kali... i like the
way of singing and i love Timberland.... na first lady wao Furtado..
Thanks Bak... Glad to be back!
Ngoja tusubiri Asha lakini reviews so far a pretty good, kama sikosei inaanza rasmi July 29th kama utaweza kuiona mapema nifahamishe maana trailers nyingine zinaweza kukuvutia ukatamani kwenda kuiona movie halafu ukienda kuiona unabaki kukasirika tu maana ni madudu matupu.