Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
JESHI la Israel limemuua kiongozi mwingine wa kikosi maalum cha kundi la Hezbollah, Mustafa Ahmad Shahadi katika shambulizi lililofanywa eneo la
Nabatieh kusini mwa Lebanon.
Taarifa ya jeshi la Israel imesema katika shambulio hilo lililofanywa na jeshi la anga la Israel limemshambulia kiongozi huyo hadi kumuua.
Awali, kiongozi huyo alikuwa akiendesha operesheni za kikosi cha Radwan chini Syria na kusimamia mashambulizi ya kigaidi kusini mwa Lebanon.
Chanzo: Dw