Mustafa Ahmad Shahadi Kiongozi wa Kikosi Maalum cha Hezbollah Auliwa na IDF

Mustafa Ahmad Shahadi Kiongozi wa Kikosi Maalum cha Hezbollah Auliwa na IDF

Vita Hii inarepotiwa upande mmoja tu Israel imeua Israel imekamata israel imeshambulia lakini wao wamekufa sana pia ila wanazuia Media zote kusema na wanazoruhusu ni kupewa na kuelekezwa cha kusema basi.
 
View attachment 3139912

JESHI la Israel limemuua kiongozi mwingine wa kikosi maalum cha kundi la Hezbollah, Mustafa Ahmad Shahadi katika shambulizi lililofanywa eneo la
Nabatieh kusini mwa Lebanon.
Taarifa ya jeshi la Israel imesema katika shambulio hilo lililofanywa na jeshi la anga la Israel limemshambulia kiongozi huyo hadi kumuua.
Awali, kiongozi huyo alikuwa akiendesha operesheni za kikosi cha Radwan chini Syria na kusimamia mashambulizi ya kigaidi kusini mwa Lebanon.
Chanzo: Dw
Top layer yote wamewahishwa kwa mabikra 72 what a suprise
 
Vita Hii inarepotiwa upande mmoja tu Israel imeua Israel imekamata israel imeshambulia lakini wao wamekufa sana pia ila wanazuia Media zote kusema na wanazoruhusu ni kupewa na kuelekezwa cha kusema basi.
Kama unayo orodha ya makamanda wa IDF waliouliwa iweke hapa
 
Myahudi again

Kamanda Mkubwa wa Hezbollah, Haj Abdullah Muzhim ameuliwa na IDF​

Screenshot_20241101_163108_Samsung Internet.jpg
 
Duuhh Bikira huko ahela zinasuguliwa visimi haswa,

Yaani papuchi zinatoa harufu mbaya kweli
 
Back
Top Bottom