HahahaaaaBikra 72 wampokee ehh bwana
Wakiuawa magaidi hivi wa hezbollah au hamas husiki wala uoni kobazi wakiposti wala kukiri ila wako haraka kuweka picha za watoto na wanawake kusema israel inaua wanawake na watoto haiwawezi magaidi cha ajabu hawa viongozi hezbollah na hamas nao ni wanawake na watoto?View attachment 3139912
JESHI la Israel limemuua kiongozi mwingine wa kikosi maalum cha kundi la Hezbollah, Mustafa Ahmad Shahadi katika shambulizi lililofanywa eneo la
Nabatieh kusini mwa Lebanon.
Taarifa ya jeshi la Israel imesema katika shambulio hilo lililofanywa na jeshi la anga la Israel limemshambulia kiongozi huyo hadi kumuua.
Awali, kiongozi huyo alikuwa akiendesha operesheni za kikosi cha Radwan chini Syria na kusimamia mashambulizi ya kigaidi kusini mwa Lebanon.
Chanzo: Dw
... mabikra wa kufikirika wampalie mkaa wa moto wa milele. Amin.Bikra 72 wampokee ehh bwana
Ukisikia kuna majitu majinga ndio haya yaani hayana akili nayataisha yote mpaka na baba laoView attachment 3139912
JESHI la Israel limemuua kiongozi mwingine wa kikosi maalum cha kundi la Hezbollah, Mustafa Ahmad Shahadi katika shambulizi lililofanywa eneo la
Nabatieh kusini mwa Lebanon.
Taarifa ya jeshi la Israel imesema katika shambulio hilo lililofanywa na jeshi la anga la Israel limemshambulia kiongozi huyo hadi kumuua.
Awali, kiongozi huyo alikuwa akiendesha operesheni za kikosi cha Radwan chini Syria na kusimamia mashambulizi ya kigaidi kusini mwa Lebanon.
Chanzo: Dw
Ni 72 bwana sio 70 mbona unawapunguzia..!?Akazadiwe mabikira 70 kwa kuipigania dini ya mnyaazi
Ni kwamba hata kijana akipata cheo cha mwandamizi, naye atauliwa. IDF inaua waandamiziTofauti ya jeshi la huku na kule. Huku wanauliwa wazee kule wanauliwa vijana.
Mkuu hizi bikra 2 ni 10% ama? Mpe haki yake yote tafadhali ni 72.Akazadiwe mabikira 70 kwa kuipigania dini ya mnyaazi
Unadhani mwezi huu wa kumi wamepoteza wanajeshi wangapi? Wanapoteza wengi sema huwa hawasemi. Unafahamu Israel kaskazini pia raia wamekimbia makazi yaoNi kwamba hata kijana akipata cheo cha mwandamizi, naye atauliwa. IDF inaua waandamizi
Israel anawasema viongozi anaowaua Hezbollah na Hama's na wao waseme wanajeshi wa Israel wanaowaua.Unadhani mwezi huu wa kumi wamepoteza wanajeshi wangapi? Wanapoteza wengi sema huwa hawasemi. Unafahamu Israel kaskazini pia raia wamekimbia makazi yao
Kabisa aisee.. Bado Shekh Naim Kassem huyu mpya wa juzi.Kuwa kiongozi kwa Hamas au Hezbollah ni kukata tiketi ya kuzimu