Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,553
- 2,380
Wewe inaonekana unene unakutisha,au ulikua mtoto wako?
aah nah mimi sitifui mbolea, lakini taarifa za huyu jamaa zinajulikana mji mzima, na mtu mwenye macho akimuangalia tu anajua jamaa ni chakula.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe inaonekana unene unakutisha,au ulikua mtoto wako?
Jamani naomba contact za huyu jamaa(si taki kula) anipe siri nimekwisha amua kuanzisha weight clinic/health club hapa bongo, nile pesa za mademu zenu wanaopenda kujikondesha.
hizi clinic za kuchapa watu visu naona ziletwe nyingi tu hapa bongo, nahisi wateja ni wengi but thank God am happy the way i am
Jamaa alishawahi kuoa mdosi mwezie huko UK kwa makeke kibao hakuchukua round maana nasikia shughuli haikwei sasa huyu K-Lyn atakuwa akimwangalia kama cinema kama kweli amemchumbia??
Siku moja kama mwaka jana hivi , nilikua Garden Bistro , baada ya muda akaingia Huyu jamaa akiwa na Nancy Sumari, K-lynn na Mzungu mmoja, wakaaka kwa mbele yetu, huyu jamaa akainuka kama anakwenda counter ,wakati anapita akamuona demu mmoja naitwa Jennifer John , huyu Jeniffer alikua amekaa nyuma yangu , kilicho nishangaza huyu jamaa kumuita Jennifer na kumuambia "Mambo Shosty?" , nilishangaa kusikia anasema neno "Shosty" sasa hapo na shindwa kuelewa, maana niliona picha za harusi yake ile ya kwanza na pia Kuhusu huyu K-Lynn .
Don't take everything so serious, kutokana na shughuli zake, jamaa anakuwa na vimwana muda mwingi sana inawezekana nae amejikuta akitumia hilo neno kama salam kutokana na kuona vimwana wakisalimiana hivyo kila wakati,japokuwa ndio hivyo tena.. ukikaa na vimwana sana na kama hauvibandui basi kuna hatari ya kubanduliwa....lol
Kweli kazi ipo!!! ila tuache utani huyu jamaa kapungua sana kwa muda mfupi, nilishajaribu diet lakini wapi itabidi nihudhurie hiyo gym itakayofunguliwa hivi karibuni, COMING SOON!!!!Kama vimwana wapo si unamega tu tatizo wapi?
Kweli kazi ipo!!! ila tuache utani huyu jamaa kapungua sana kwa muda mfupi, nilishajaribu diet lakini wapi itabidi nihudhurie hiyo gym itakayofunguliwa hivi karibuni, COMING SOON!!!!
kweli kazi ipo!!! Ila tuache utani huyu jamaa kapungua sana kwa muda mfupi, nilishajaribu diet lakini wapi itabidi nihudhurie hiyo gym itakayofunguliwa hivi karibuni, coming soon!!!!
acheni mambo yenuu hayoo...african woman lazima awe amejaa..sofa sofa.Lol yes hao wa kichina ni uswazi type , fungua kwa wakishua huku ndio utaona totoz posh n classic.