Mustafa Hassanali kawa simple

Mustafa Hassanali kawa simple

Wewe inaonekana unene unakutisha,au ulikua mtoto wako?

aah nah mimi sitifui mbolea, lakini taarifa za huyu jamaa zinajulikana mji mzima, na mtu mwenye macho akimuangalia tu anajua jamaa ni chakula.
 
Jamaa alishawahi kuoa mdosi mwezie huko UK kwa makeke kibao hakuchukua round maana nasikia shughuli haikwei sasa huyu K-Lyn atakuwa akimwangalia kama cinema kama kweli amemchumbia??
 
Jamani naomba contact za huyu jamaa(si taki kula) anipe siri nimekwisha amua kuanzisha weight clinic/health club hapa bongo, nile pesa za mademu zenu wanaopenda kujikondesha.

Kwa sasa hivi vitambi ni janga la kitaifa.Ukianza kliniki hutakula za mademu tu wanaume nao siku hizi wametia fora kwa obesity.
 
Siku moja kama mwaka jana hivi , nilikua Garden Bistro , baada ya muda akaingia Huyu jamaa akiwa na Nancy Sumari, K-lynn na Mzungu mmoja, wakaaka kwa mbele yetu, huyu jamaa akainuka kama anakwenda counter ,wakati anapita akamuona demu mmoja naitwa Jennifer John , huyu Jeniffer alikua amekaa nyuma yangu , kilicho nishangaza huyu jamaa kumuita Jennifer na kumuambia "Mambo Shosty?" , nilishangaa kusikia anasema neno "Shosty" sasa hapo na shindwa kuelewa, maana niliona picha za harusi yake ile ya kwanza na pia Kuhusu huyu K-Lynn .
 
Don't take everything so serious, kutokana na shughuli zake, jamaa anakuwa na vimwana muda mwingi sana inawezekana nae amejikuta akitumia hilo neno kama salam kutokana na kuona vimwana wakisalimiana hivyo kila wakati,japokuwa ndio hivyo tena.. ukikaa na vimwana sana na kama hauvibandui basi kuna hatari ya kubanduliwa....lol
 
Kama vimwana wapo si unamega tu tatizo wapi?
 
Kama vimwana wapo si unamega tu tatizo wapi?
Kweli kazi ipo!!! ila tuache utani huyu jamaa kapungua sana kwa muda mfupi, nilishajaribu diet lakini wapi itabidi nihudhurie hiyo gym itakayofunguliwa hivi karibuni, COMING SOON!!!!
 
Kweli kazi ipo!!! ila tuache utani huyu jamaa kapungua sana kwa muda mfupi, nilishajaribu diet lakini wapi itabidi nihudhurie hiyo gym itakayofunguliwa hivi karibuni, COMING SOON!!!!

Lily, diet inasaidia sana ila inabidi uwe na discipline ya hali ya juu. Gym inaenda pamoja na diet, kama unataka kupungua, maana ukitoka mazoezi unakuwa appetite ya kumwaga, sasa kama utakula kila kilicho mbele yako ndo badala ya kupungua unajikuta unazidi kuongeza (hasa) tumbo.
kwa ushauri tu, wakati unasubiri hiyo COMING SOON, anza diet kwa adabu
 
kweli kazi ipo!!! Ila tuache utani huyu jamaa kapungua sana kwa muda mfupi, nilishajaribu diet lakini wapi itabidi nihudhurie hiyo gym itakayofunguliwa hivi karibuni, coming soon!!!!

all u need is a man.mwili utakaa sawa wenyewe.
 
Jamaa alishuka south wakakomba manyama na mafuta nadhani jaque alimpa mashaliti
 
Gastric bypass surgery hiyo. Mbona wako watu kadhaa mjini hapa wamefanyiwa India? Tena bei poa unlike the U.S. and Europe.
 
Niliwahi kuuliza hapo mwanzo huyu ndugu katumia njia gani mpaka kuwa hivyo,kwa njia hiyo amekwepa kisukari ,tungependa ndugu bana hassanali atumegee na sisi mabonge siri ya kupungua mwili yaani atupe ushauri wa bwelele ,tafadhali bwana Hassanali utuambie utakuwa umetusaidia sana hata kupita unavyowasaidia hao vidosho wa kiswahili,sema bana
 
Hii itakuwa ni LIPOSUCTION or SMARTLIPO cheki hapa inavyofanya kazi

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=xrfAF1CTs5c[/ame]
 
Back
Top Bottom