Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bunge limejaa wahuni full stop kila abiria chunga mzigo wako.Nakumbuka sasa maneno ya Mch Mtikila........!
Na wasipopewa Ipad wataibiana sana.... Na wale wengine hawataacha kwenda kuambukiza ukimwi hadi wanunuliwe Ipadina maana hyo posho haitoshi ndio mpk wanaibiana laptop??
Mbunge wa kilosa mustafa mkulo ameibuka na kudai mbele ya mmwenyekiti pandu kificho
kaibiwa laptop ; mpaka sasa hajaipata.
Mpaka tunaenda mitambano. Bado juhudi za kupata laptop yake zimegonga mwamba
source; mtanzania pg 5
Akome.wabunge wa ccm kusinzia du nawakubali.wananchi jifunzeni wabunge wa ccm ni mizigo.
Hilo nalo neno, bilioni nane zote bila camera ndani? Kama camera zipo si tuna re-wind tu mkanda tunamwona mwizi - SIMPLE KWENDA NATEKNOLOGIA!Ukarabati wote walioufanya hamna surveillance?
Mtikila alisema bunge limejaa wahuni, na hivi kuongezwa posho mizinguo msishangae shughuli zikakwama baada ya watu kuondoka na mic.
Ukarabati wote walioufanya hamna surveillance?