Mustafa Mkulo aibiwa laptop bungeni (bunge la katiba ) Dodoma

Mustafa Mkulo aibiwa laptop bungeni (bunge la katiba ) Dodoma

Wanalala sana humo badala ya kufanya kilichowapeleka. Na walalaji watachapwa sana vitu vyao, hawajasikia Paulo Makonda kasema posho haitoshi?
ImageUploadedByJamiiForums1393325465.947498.jpg
 
Mtikila alisema bunge limejaa wahuni, na hivi kuongezwa posho mizinguo msishangae shughuli zikakwama baada ya watu kuondoka na mic.

Ha ha ha haaa! Umenivunja mbavu! Eti "wataondoka na MIC".
 
Kila mwenye mke aliyekwenda kwenye Bunge la Katiba, akirudi ampime HIV! Hawa wabunge pamoja na kuiba laptop, simu, ipad, lakini pia wanaiba wake za watu huko Bungeni. Mbaya zaidi watoto wetu wa UDOM, Mipango na CBE watawamaliza! Ningeshauri vyuo hivyo vifungwe kwa kipindi hiki cha Bunge!
 
CCM ni jadi yao kuiba wala sioni ajabu kama kwenye chaguzi wanaiba kura sembuse laptop!
 
Baadhi tulidhani heshima ya nchi imeshuka kama sio kuisha nje ya mipaka sababu ya tabia za viongozi wetu, mauaji ya tembo na vijana wanaobeba madawa ya kulevya, lakini sasa ndio naona kuwa hata ndani ya nchi ni wazi hakuwezi kuleta heshima yoyote tena!
A clear failed state. Inasikitisha sana!
 
Aibu kabisa. kweli hawa ndio wakututetea hali zetu bungeni..?!

Kwanza


  • Kudai posho zaidi...
  • Kudai Ipad...

kukosa hilo..

  • Wameamua kuibiana Laptops!

Hao kweli matapeli au, yaani limejaa wahuni walafi wasio na uchungu na nchi yao...Nakubaliana na wale wanasisitiza kulivunja hilo bunge tuanze upya...
 
hv c walisdma posho haitoshi? sasa waachen waibe bana! na hyo laptop atakua kaiba jambaz LEMA kama c mvuta bang sugu
 
Amejidhalisha, bora angeuchuna tusingeyajua haya akumbuki ya mwenzake n/waziri wa fedha.
 
Inasikitisha sana tena sana...hao ndo watu walioaminiwa kutengeneza katiba mpya?????? Shame on us!
 
Bunge la kihuni,limejaa vibaka aliyewateua naye......-MTIKILA
 
Waanze na yule mbunge mkwapuaji wa mataulo na mikufu!!!
 
Back
Top Bottom