Mustafa Mkulo atoka mbio kukwepa ghadhabu ya wananchi Dumila

Mkuu huyu mheshimiwa, kipindi alipo kuwa waziri wa fedha, je kuna lolote la maana alilofanya kwa taifa na kwetu wananchi, tunalo weza kumkumbuka nalo? Ni aibu kwa former finace minister, kwenye jimbo lake kuwa majanga kiasi hicho.
 

na itakapokuja sheria ile ya kuwapindua wabunge hali itakaa sawa,,,,,,,kama ,mbunge hawajabiki aondolewe,huyu jamaa ananata kwakua hakuna wa kumuwajibisha
 

Haafu huyu si tulishaambiwa ni MNYASA, eti? Kama ndivyo, hana la kupoteza aisee!!
 
ha ha ha dahhh kweli wananchi mmeamka.

Hii ni kama Mwaka huu wananchi wa Dumila walipopokonywa shamba lao, wakaingia barabarani likarudi lote. Mkulo ataipata mwaka huu
 
wawakilishi wa aina ya mkulo ni majanga kuwarudisha bungeni! binafsi sioni kazi anayofanya huyu zaidi ya kuona kipara kiking'aa tu mle ndani!
 
Sipati Picha Uchaguzi wa 2015 utakavyokuwa kwa maana CCM watataka kuendeleza Sera yao ya Wizi wa Kura na Wananchi hawatataka kuibiwa kura.Hapo ndipo Nyasi zitakapowaka Moto.
 

Hivi hilo eneo lilikuwa halina mawe....? Wangemtusua kidogo....Anyway sasa wananchi wameamka...
 
kwani HAO WAPIGAKURAWAKE hawakuwa na mawe????
wangemsindikiza kwa mawe ingekuwa vizuri zaidi
Hawawanasiasa wanashindwa tambua kwamba jamii ya leo sio ile ya miaka ya 40
Akirudi bora mpige mawe kabisa

Kama ulikuwa akilini mwangu vile....Yani wangemshushia mangasto kidogo akome..
 
Mwizi tokea lini akalipa madeni ya ahadi zake!
 
Mkuu huyu mheshimiwa, kipindi alipo kuwa waziri wa fedha, je kuna lolote la maana alilofanya kwa taifa na kwetu wananchi, tunalo weza kumkumbuka nalo? Ni aibu kwa former finace minister, kwenye jimbo lake kuwa majanga kiasi hicho.


Sijakuelewa unamaanisha nini.Yaani Mtu akiwa Waziri ndio Jimbo lake liendelee kuliko Mengine?Funguka Tafadhali naona network imeshindwa kukunasa vizuri.
 
Yani ma ccm yanafanya maendeleo ya wananchi kama vile ni mambo ya nyumba ndogo!Katibu ccm anauhusiano gani na maji?M4c jimbo hilo lipo wazi

Mkuu unajua Wabunge wengi wa ccm walizoea kuchaguliwa kwa kutumia mgongo wa chama...Kwasasa mambo yamebadilika 2015 kuna kazi ya ziada.....Hiki kizazi cha M4C ni hatari....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…