Mustakabali wa Gen Z East Africa

Mustakabali wa Gen Z East Africa

Librarian 105

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2023
Posts
261
Reaction score
356
Hili vuguvugu la harakati za Gen Z lililoanzia Kenya kisha kuhamia Uganda hivi karibuni. Ni kiashiria cha mahitaji ya mabadiliko ya kiuchumi na kijamii yenye kupiganiwa na vijana.

Kwa vile mifumo na sera za fedha na ajira limegeuka kupe dhidi yao katika maisha ya kila siku. Walakini viongozi wao wakitia pamba masikioni huku baadhi yao wakidai kuna nchi za kigeni hasa Marekani zinafadhili vuguvugu la harakati hizi.

Kwa upande wa kwetu Tanzania nitoe ushauri Kwa mamlaka : busara ni kujifunza kupitia makosa yako na makosa ya wengine.

Mustakabali wa vuguvugu hili kwetu sisi naona tungali tuna muda wa kujitathmini na kurekebisha sera za ajira, fedha, Kodi na uchumi Kwa ujumla endapo viongozi wetu wataitanguliza Tanzania mbele.

Japokuwa wanaweza kupuuzia kinachoendelea Kwa majirani zetu, ila wahenga walipata kusema " ukiona mwenzako ananyolewa nawe tia maji kichwa chako".

Lakini nikitazama hali halisi tuliyonayo : uchawa na ukoloni mweusi unaweza kufunika kombe ili mwanaharamu apite.


sddefault.jpg
bA5FNZGgqYmCTLhJsGAql1HMVqcICZ1yitgYDDNA.jpg
file-20240628-19-grklx5.jpg
 

Attachments

  • Anti-corruption-protestors-arrested.jpg
    Anti-corruption-protestors-arrested.jpg
    123 KB · Views: 3
Hili vuguvugu la harakati za Gen Z lililoanzia Kenya kisha kuhamia Uganda hivi karibuni. Ni kiashiria cha mahitaji ya mabadiliko ya kiuchumi na kijamii yenye kupiganiwa na vijana. Kwa vile mifumo na sera za fedha na ajira limegeuka kupe dhidi yao katika maisha ya kila siku. Walakini viongozi wao wakitia pamba masikioni huku baadhi yao wakidai kuna nchi za kigeni hasa Marekani zinafadhili vuguvugu la harakati hizi.
Kwa upande wa kwetu Tanzania nitoe ushauri Kwa mamlaka : busara ni kujifunza kupitia makosa yako na makosa ya wengine. Mustakabali wa vuguvugu hili kwetu sisi naona tungali tuna muda wa kujitathmini na kurekebisha sera za ajira, fedha, Kodi na uchumi Kwa ujumla endapo viongozi wetu wataitanguliza Tanzania mbele. Japokuwa wanaweza kupuuzia kinachoendelea Kwa majirani zetu, ila wahenga walipata kusema " ukiona mwenzako ananyolewa nawe tia maji kichwa chako".
Lakini nikitazama hali halisi tuliyonayo : uchawa na ukoloni mweusi unaweza kufunika kombe ili mwanaharamu apite.View attachment 3050773View attachment 3050775View attachment 3050780
Tanzania kuna Gen Mazezeta,
 
Waache wafurahie nchi yao nzuri. Usiifananishe Tanzania na nchi nyingine za EAC. Tuko mbali sana kiustaraabu.🙏🙏🙏
Huku mashoga wasagaji wanaongezeka
Sahv humjui dume nani dem nani
Legelege
Endeleeni kucheza komasavaa

Ova
 
Back
Top Bottom