THE SPIRIT THINKER
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 419
- 652
UPI MUSTAKABALI WA KITUO CHA ANGA CHA ISS MARA BAADA YA RUSSIA KUWEKEWA VIKWAZO LUKUKI NA WASHIRIKA WENZAKE EU NA MAREKANI
Maswali Mengi tumekuwa tukijiuliza Sana juu mustakabali wa kituo Cha iss ambapo kituo hichi kimekuwa kikishirikisha ushirikiano wa mataifa kadhaa makubwa katika pande mbalimbali za dunia yetu
Internation space station NI mjumuiko wa vituo vidogo vidogo kadhaa vilivyokuwa na lengo la kuungana pamoja katika lengu kuu la kushirikia na kwa pamoja katika kufanya na kufanikisha masuala mbalimbali ya kiuchunguzi wa anga za mbali ambapo mataifa kadhaa yamekuwa washirika wa kufanikisha uwepo wa kituo hichi " Urusi , Marekani , Umoja wa Ulaya , Canada , Japan )
Kituo hichi kimegawanyika katika pande mbili upande mmoja ukiwa wa Russia na Upande wa Pili ukiwa no wamarekani na washirika wake ambapo Russia akimiliki vipande vidogo vidogo 6 huku Marekani na washirika wake wakimiliki vipande vidogo vidogo 11 ambavyo vimeungana pamoja na kuleta muunganiko wa kituo chote hicho chenye upana wa Mita 100 sawa n uwanja wa mpira wa miguu ( Pitch )
Kwa kiasi kikubwa naweza kusema kituo kimetawaliwa na nchi 2 ambazo ni Marekani na Russia hapa ninaweza kusema kwenye biashara hawa ni Kama share Holder wenye Hisa kubwa sana kwa wawili wao
Mara baada ya kusitishwa kwa safari za space shuttle 2011 Marekani na washirika wake waliamua kuanza kutumia chombo Cha usafiri Cha Russia kinachofahamika kama Soyuz ambacho kimekuwa kikifanya kazi ya usafirishaji wa mizigo na wanaanga kwa muda mrefu Sana huku Marekani wakiwa wanalipa takribani $50 million kwa seat moja kwenye chombo hicho Cha Soyuz huku kwa kutumia chombo hicho Navigation na full control ya kituo hicho kwa zaidi ya miaka 9 ilikuwa ipo chini ya Russia kwa wakati wote huo
Ni kwa Jinsi gani Russia aliweza kusimamia Navigation na Full control ya Kituo kizima
Kituo hichi kilirushwa katika miaka ya 90's huku mifumo mbalimbali ya kiutendaji ikiwa ipo katika hari yake nzuri kabisa sasa mara baada ya matumizi ya muda mrefu sana vyombo mbalimbali vya kusapoti uwepo wa kituo hicho anga za mbali vilianza kuchoka kwa maana Russia alikuwa na Nauka na Huku Marekani alikuwa na Mir ambapo vyombo vyote hivyo vilikuwa na lengo kubwa la kutoa Boost sapoti pindi kituo hicho kinapokuwa kimerudi chini kiasi hivyo vyombo hivyo vyote vilikuwa na kazi ya kurudisha kituo katika eneo lake maalumu
Kituo hichi kipo katika umbali wa 450 km kutoka usawa wa bahari katika orbit ya kwanza kabisa , Adui mkubwa wa kituo hichi huwa ni resistance za hewa mbalimbali zilizopo huko anga za juu ambapo kwa uwepo wa hewa korofi husababisha chombo kuweza kupungua kasi yake na kuanza kurudi chini taratibu hivyo vyombo kama Nauka na Mir ndivyo vilikuwa na kazi ya kurudisha kituo hicho katika eneo lake la kawaida sasa basi Mir na Nauka baada ya matumizi ya muda mrefu viliishiwq nishati yake ya kuendeshea moja kwa moja vikawa havina uwezo wa kufanya kazi hiyo tena
Kazi kubwa ikawa imebaki kwa vyombo vya usafiri kama Space shuttle na soyuz ambavyo walikuwa wakivitumia katika kuboost kasi ya kituo na kurudisha katika eneo lake la kawaida , swala hilo lilikuwa gumu kwa marekani mara baada ya kusitishwa kwa safari za space shuttle hivyo marekani hakuwa na jinsi tena zaidi ya kutegemea chombo cha soyuzi , na soyuz progresso cargo kwa usafiri wa watu na mizigo na pia kutumika kama boost ya chombo
Marekani ilikuwa na kazi ya kuhakikisha usalama wa maisha ya wanaanga zaidi ya 10 kwenye kituo hicho kwa maana ya utoaji wa hewa safi ndani ya kituo hicho kwakuwa mifumo mingi ya hewa inayosambaa katika kituo hicho ipo katika upande wao huku mifumo yote ya umeme ikiwa ipo katika umiliki wao huku Russia yeye akiwa na uwezo wa kumaintain speed na attitude ya chombo hicho kwa kipindi cha miaka yote 9 ya marekani kutokuwa na chombo chochote cha kupeleka mahitaji katika kituo hicho
Marekani walianza kupata Nafuu mara baada ya Kampuni Binafsi kuingia katika sekta hiyo
Marekani ilianza kutoka katika kivuli cha utumwa kwa Russia mara baada ya Marekani ya kampuni mbalimbali za wazawa kuanza kutengeneza vyombo mbalimbali vya usafirishaji watu na mizigo " Space x na Northrop gruman "
Marekani ilianza kusafirisha tena wanaanga wake kutokea katika ardhi yao katika miaka ya 2020 ambapo space x walifanikiwa kurusha wanaanga 2 kwa majaribisho ya chombo hicho cha space x crew dragon na Mara baada ya safari hiyo ilifungua mipaka ya kwa makampuni mbalimbali ya kimarekani kwenda anga za juu kabisa
Mafanikio ya Upatikanaji wa makampuni binafsi ya huko marekani yameweza kusaidia kujaza nafasi iliyoachwa wazi na chombo cha space shuttle ambapo kwasasa kwa uwepo wa chombo cha Cygyrus cargo space craft kumeamsha imani kwa segment yao inayounda kituo cha anga cha iss kuweza kuendelea kubaki anga za juu kwakuwa kwasasa Nasa wataweza kutumia vyombo vya Crew dragon na Cygyrus cargo space craft kuweza kuboost na kurejesha Segment hiyo katika eneo lengwa la orbit
Kwa kadri tension ya mambo ya siasa hizi za kimataifa huenda zikaenda kuuwa kabisa kituo hichi kikubwa cha anga kwasababu kwa kadri tension itakavyoendela kubwa kubwa tunaweza kushuhudia Russia na Marekani wakitengana katika ushirika wao uliozidi zaidi ya miaka 20
Japokuwa kuna baadhi ya upande utahitajika tena kujipanga katika kuhakikisha wanapata mahitaji kama hewa na mifumo ya umeme
Mara baada ya kutengana kila upande utapata effect kwakuwa patahitajika tena kuanza michakato mbalimbali ya kiupangaji wa vituo hivyo ili kwa namna fulani viweze kubalance na viweze kuwa na shape nzuri kabisa
Kwa mimi naona utengano wao kwa namna moja utadhorotesha juudi kubwa zilizosisiwa waliopita katika tasnia hii ya anga za mbali
Bado Russia na Marekani wanahitaji kuwa pamoja na kumaliza tofauti zao mbalimbali
Nimeeleza mimi
Moudy Swema