TANZIA Mustapha Nzogela, Mwanachama wa Yanga na mmoja wa waasisi wa mwanzo kabisa wa Tawi la Yanga Pamoja Mbezi, afariki kwa ajali ya Maji

Hivi polisi au taasisi husika haiwezi kutoa miongozo/guidelines na tahadhari kwenye vipindi vya redio na tv kila baada ya muda fulani?
Tatizo linaanzia ni watu wangapi watasikiliza?
Nature yetu wengi utasikia ngoja nisubir uchambuzi wa michezo, bongo vijana kwenye suala la kusikiliza taarifa muamko mdogo.
 
Hivi polisi au taasisi husika haiwezi kutoa miongozo/guidelines na tahadhari kwenye vipindi vya redio na tv kila baada ya muda fulani?
Kuna miaka ya 2000's Polisi walikuwa wanatoa mafunzo mbalimbali yanayohusu maswala ya ulinzi na Usalama kwa raia, hatua za kwanza kama tahadhali za kuchukua unapopatwa na janga kuhakikisha Usalama. Sijui kama bado wanaendelea
 
[emoji3520]TANZIA[emoji3520]

Ndg yetu Mustapha Nzogela, Mwanachama wa Yanga na mmoja wa waasisi wa mwanzo kabisa wa Tawi la Yanga Pamoja Mbezi, alifariki Kwa ajali ya Maji juzi ktk bonde la Mkwajuni akijaribu kupita na Noah yake bila kujua kama maji ni mengi na yanapita juu ya Barabara, mazishi yamefanyika Leo Luguruni, amefariki yeye na Mke wa mdogo wake;

Mke wake na Watoto walitangulia nyumbani kwa daladala mapema kabla ya Maji kuwa mengi

[emoji3520][emoji3520][emoji3520]View attachment 2839917
RIP Mwananchi.
 
Sasa yee na shemeji yake walikuwa wanafanya nini peke yao kwenye noah? R.I.P
 
W
[emoji3520]TANZIA[emoji3520]

Ndg yetu Mustapha Nzogela, Mwanachama wa Yanga na mmoja wa waasisi wa mwanzo kabisa wa Tawi la Yanga Pamoja Mbezi, alifariki Kwa ajali ya Maji juzi ktk bonde la Mkwajuni akijaribu kupita na Noah yake bila kujua kama maji ni mengi na yanapita juu ya Barabara, mazishi yamefanyika Leo Luguruni, amefariki yeye na Mke wa mdogo wake;

Mke wake na Watoto walitangulia nyumbani kwa daladala mapema kabla ya Maji kuwa mengi

[emoji3520][emoji3520][emoji3520]View attachment 2839917
Waambie yanga wamfufue
 
Watu wanapaswa kua makini sana na maji. Kitu ambacho watu hawajui kwa juu maji yanaweza kuonekana kua na mwendo tulivu lakini ukipita yanakusomba. Maji yana nguvu sana. Watu wachukue tahadhari kipindi hiki
 
Back
Top Bottom