edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
Wanatakiwa wafunge barabaraHivi polisi au taasisi husika haiwezi kutoa miongozo/guidelines na tahadhari kwenye vipindi vya redio na tv kila baada ya muda fulani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatakiwa wafunge barabaraHivi polisi au taasisi husika haiwezi kutoa miongozo/guidelines na tahadhari kwenye vipindi vya redio na tv kila baada ya muda fulani?
Tatizo linaanzia ni watu wangapi watasikiliza?Hivi polisi au taasisi husika haiwezi kutoa miongozo/guidelines na tahadhari kwenye vipindi vya redio na tv kila baada ya muda fulani?
Kuna miaka ya 2000's Polisi walikuwa wanatoa mafunzo mbalimbali yanayohusu maswala ya ulinzi na Usalama kwa raia, hatua za kwanza kama tahadhali za kuchukua unapopatwa na janga kuhakikisha Usalama. Sijui kama bado wanaendeleaHivi polisi au taasisi husika haiwezi kutoa miongozo/guidelines na tahadhari kwenye vipindi vya redio na tv kila baada ya muda fulani?
If I knew.... kamsemo kadogo lakini haha.....na huwa kanakuja kipindi cha majuto tu😄Siku zote neno ningejua huja mwisho wa safari.
Kabisa mkuuMadereva kwanini?? Kupita kwenye maji ni mwiko.
Angeweza kurudi apite hata Morocco au Mwananyamala
RIP Mwananchi.[emoji3520]TANZIA[emoji3520]
Ndg yetu Mustapha Nzogela, Mwanachama wa Yanga na mmoja wa waasisi wa mwanzo kabisa wa Tawi la Yanga Pamoja Mbezi, alifariki Kwa ajali ya Maji juzi ktk bonde la Mkwajuni akijaribu kupita na Noah yake bila kujua kama maji ni mengi na yanapita juu ya Barabara, mazishi yamefanyika Leo Luguruni, amefariki yeye na Mke wa mdogo wake;
Mke wake na Watoto walitangulia nyumbani kwa daladala mapema kabla ya Maji kuwa mengi
[emoji3520][emoji3520][emoji3520]View attachment 2839917
Pale kwenu bonde la mkwajuni kama umepazowea,utashawishika tu kupita hata kama maji yamejaaAlikuwa anapima power of water
Wake zetu wengi wana akili mbovu mbovu sana. Ndo maana mimi mwenzenu sijaachaga kutoa kipigo hadi leo.Ukute tayari alikua ameshaanza kutuhumiwa huko, "najua Unachelewa huko kwa Malaya wako" dah, just thinking loud
[emoji16]nimepita comment kwa comment nikiitafuta comment ya namna hii, na nilijua lazima iwepoSasa yee na shemeji yake walikuwa wanafanya nini peke yao kwenye noah? R.I.P
Waambie yanga wamfufue[emoji3520]TANZIA[emoji3520]
Ndg yetu Mustapha Nzogela, Mwanachama wa Yanga na mmoja wa waasisi wa mwanzo kabisa wa Tawi la Yanga Pamoja Mbezi, alifariki Kwa ajali ya Maji juzi ktk bonde la Mkwajuni akijaribu kupita na Noah yake bila kujua kama maji ni mengi na yanapita juu ya Barabara, mazishi yamefanyika Leo Luguruni, amefariki yeye na Mke wa mdogo wake;
Mke wake na Watoto walitangulia nyumbani kwa daladala mapema kabla ya Maji kuwa mengi
[emoji3520][emoji3520][emoji3520]View attachment 2839917
[emoji16]nimepita comment kwa comment nikiitafuta comment ya namna hii, na nilijua lazima iwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16]mkuu amin amin nakwambia wewe tu ndo umewaza uzinzi[emoji23][emoji23][emoji23]unauhakika iko pekee yake hakuna nyingine ??
[emoji16][emoji16]mkuu amin amin nakwambia wewe tu ndo umewaza uzinzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanarudi nyumbaniSasa yee na shemeji yake walikuwa wanafanya nini peke yao kwenye noah? R.I.P
Watu hua hawajifunziWatu wanapaswa kua makini sana na maji. Kitu ambacho watu hawajui kwa juu maji yanaweza kuonekana kua na mwendo tulivu lakini ukipita yanakusomba. Maji yana nguvu sana. Watu wachukue tahadhari kipindi hiki