Musukuma aisifia DP world ya Dubai sakata la bandari. Adai Taifa linacheleweshwa na wajinga wanaotaka kushirikishwa kila kitu

Musukuma aisifia DP world ya Dubai sakata la bandari. Adai Taifa linacheleweshwa na wajinga wanaotaka kushirikishwa kila kitu

Lakini huwezi kumfananisha na Dr Slaa anayesubiri auze timu ndio ahongwe ubalozi.

Dakta Musukuma anaduka lake la spea.
Lowassa aliinunua Chadema nzima isipokuwa Dr Slaa Pekee

Huo ndio wakati wewe ulihama CCM kumfuata Kingunge Ngombale Mwilu kwa Laigwanan Lowassa 😄😄
 
Kwa Mbowe au Lissu kwa sasa Uchaguzi ukifanywa leo hii CCM jiandaeni kutukabizi Ikulu.
Labda Ikulu ya Ufipa st!

CCM ni Chama Dola

Akina Chadema ni Vyama Vya kuombea Misaada kwa Wafadhili kwa kigezo cha Demokrasia ndio unawaona akina Halima Mdee wako bungeni kwa Nguvu ya Chama Dume!
 
Labda Ikulu ya Ufipa st!

CCM ni Chama Dola

Akina Chadema ni Vyama Vya kuombea Misaada kwa Wafadhili kwa kigezo cha Demokrasia ndio unawaona akina Halima Mdee wako bungeni kwa Nguvu ya Chama Dume!
Sitii neno,namuachia Balozi Polepole Raisi wa Chuo cha Uongozi aseme UKWELI

Back
Top Bottom