johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lowassa aliinunua Chadema nzima isipokuwa Dr Slaa PekeeLakini huwezi kumfananisha na Dr Slaa anayesubiri auze timu ndio ahongwe ubalozi.
Dakta Musukuma anaduka lake la spea.
Dakta Mihogo alifikiri anaenda kuwa Raisi wakati alikuwa hakubaliki.Lowassa aliinunua Chadema nzima isipokuwa Dr Slaa Pekee
Kwani kuchaguliwa hadi ukubalike?Dakta Mihogo alifikiri anaenda kuwa Raisi wakati alikuwa hakubaliki.
Kwa Mbowe au Lissu kwa sasa Uchaguzi ukifanywa leo hii CCM jiandaeni kutukabizi Ikulu.Kwani kuchaguliwa hadi ukubalike?
Mbowe anakubalika Hai lakini hakuchaguliwa japo aligombea ππ
Labda Ikulu ya Ufipa st!Kwa Mbowe au Lissu kwa sasa Uchaguzi ukifanywa leo hii CCM jiandaeni kutukabizi Ikulu.
Sitii neno,namuachia Balozi Polepole Raisi wa Chuo cha Uongozi aseme UKWELILabda Ikulu ya Ufipa st!
CCM ni Chama Dola
Akina Chadema ni Vyama Vya kuombea Misaada kwa Wafadhili kwa kigezo cha Demokrasia ndio unawaona akina Halima Mdee wako bungeni kwa Nguvu ya Chama Dume!
Hehe wanasiasa leo anasema hikiSitii neno,namuachia Balozi Polepole Raisi wa Chuo cha Uongozi aseme UKWELI
Na mara nyingine huwa wanaongea ukweli.Hehe wanasiasa leo anasema hiki
Kesho kile Hahaha [emoji38]
Ova
Pesa za waarabu na Azizi zinafanya kazi bila aibu Tena Bungeni