Musukuma: Mawaziri wa Zanzibar chungeni kauli zenu za kibaguzi bungeni, Rais achukue hatua

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma amewaonya baadhi ya wabunge wa Zanzibar kujiepusha na kauli na mijadala inayoweza kuleta mgawanyiko na kuhatarisha Muungano wa Tanzania.

Musukuma ametoa onyo hilo Juni 16, 2026 bungeni alipokuwa akichangia mjadala kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2025, Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka wa fedha 2026/2027 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027.

Amesema viongozi wanapaswa kuwa waangalifu wanapozungumzia masuala ya Muungano ili kulinda umoja na mshikamano wa Watanzania.

Mbunge huyo pia amemuomba Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi kuchukua hatua dhidi ya mawaziri na wabunge wanaodaiwa kutoa kauli zenye viashiria vya ubaguzi.

Soma:
 
Musukuma ametoa onyo hilo leo bungeni alipokuwa akichangia mjadala kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2025, Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka wa fedha 2026/2027 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027.

Asante kwa Msukuma, huyu jamaa wa "Darasa la Saba" huwa hamungunyi maneno.
Nawashangaa wabunge bubu wanaoshindwa kuitetea Tanganyika.
 
Yeye huo muungano unamsaidia nini akiwa kama mtanganyika? Sisi watu wa Tanganyika ni wapuuzi na wajinga sana. Kuna mibunge inatoka Zanzibar kila jimbo la Zanzibar yanakuja Tanganyika yanakula mshahara na marupurupu ya kibunge miaka 5 na mafao juu kwa gharama za Tanganyika hakuna yanachofanya cha maana ndani ya hilo bunge na bado hatushtuki. Mbona kule kwenye bunge la Zanzibar hakuna mtanganyika hata mmoja?
Yani Zanzibar kuna jimbo lina watu 300 tu lakini lina mbunge anakuja bunge la Tanganyika na muwakilishi anaenda bunge la Zanzibar. Kisa tu kitu kinachoitwa muungano.

Huu muungano wa kimalaya malaya ni wakuvunjwa asubuhi na mapema.

Kingine tumejipa jukumu la kuhakikisha mmojawapo ya mgombea kwenye nafasi ya urais au makamu wa rais lazima atoke Zanzibar. Mbona wao hicho kitu kwao hakuna? Kuna mtanganyika yeyote ndani ya serikali ya Zanzibar? Tumekuwa kama watumwa wa kuwalea wazanzibar kwani wao walituambia wameshindwa kujilea? Upuuzi tu.
 
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma amewaonya baadhi ya wabunge wa Zanzibar kujiepusha na kauli na mijadala inayoweza kuleta mgawanyiko na kuhatarisha Muungano wa Tanzania.

Musukuma ametoa onyo hilo Juni 16, 2026 bungeni alipokuwa akichangia mjadala kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2025, Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka wa fedha 2026/2027 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027.

Amesema viongozi wanapaswa kuwa waangalifu wanapozungumzia masuala ya Muungano ili kulinda umoja na mshikamano wa Watanzania.

Mbunge huyo pia amemuomba Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi kuchukua hatua dhidi ya mawaziri na wabunge wanaodaiwa kutoa kauli zenye viashiria vya ubaguzi.

Soma:
Well done msukuma!
Kuna mibunge ya Tannganyika hapo Dodoma inajaza choo tu!
 
Asante kwa Msukuma, huyu jamaa wa "Darasa la Saba" huwa hamungunyi maneno.
Nawashangaa wabunge bubu wanaoshindwa kuitetea Tanganyika.
Wasomi ni waoga, wasomi wanaamini katika kujikombakomba kuanzia vyuoni. Tena kama wakati huu wasomi wengi ni matokeo ya kujikombakomba kwa wakufunzi huko vyuoni.

Ukimsikiliza Musukuma halafu ukaja kumsikiliza kiranja mkuu, unaweza kusema Musukuma ndio mwenye kisomo.

Hao wabunge kama umesikia makofi yao, wanatamani kusema ila ni wanafiki na waoga, wanaogopa kukemea hilo kwakuwa hawajajua msimamo wa Rais na mwenyekiti wao.

Uchawa utaliangamiza hili taifa.
​
 
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma amewaonya baadhi ya wabunge wa Zanzibar kujiepusha na kauli na mijadala inayoweza kuleta mgawanyiko na kuhatarisha Muungano wa Tanzania.

Musukuma ametoa onyo hilo Juni 16, 2026 bungeni alipokuwa akichangia mjadala kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2025, Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka wa fedha 2026/2027 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027.

Amesema viongozi wanapaswa kuwa waangalifu wanapozungumzia masuala ya Muungano ili kulinda umoja na mshikamano wa Watanzania.

Mbunge huyo pia amemuomba Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi kuchukua hatua dhidi ya mawaziri na wabunge wanaodaiwa kutoa kauli zenye viashiria vya ubaguzi.

Soma:
Huyu naye bado anapalilia muungano. wapemba hawapaswi kubembelezwa wakafia huko.

inakuwaje wanamailiki aridhi bara lakini sisi haturuhusiwi kumiliki aridhi Zanzibar
 
Ukitumia logic wazanzibar wapo sawa wanapigania nchi ya ZANZIBAR

Sisi hatuna nchi maana yake sisi wote mil 60+ ni WAZANZIBAR!
Sio tu hivyo;Wazanzibar sio wanafiki kabisa;wao wamenyooka nyeupe ni nyeupe nyeusi ni nyeusi. kwani ni kweli wanaweza kutibu watu milioni 60? kwani si kweli kwamba mahotelini wamejaa wageni na wazawa wamekosa ajira? wale wana akili sana sio kama yale mabumunda yaliyopo Dodoma
 
Mimi naona msukuma.anakosea kuwatisha mawaziri wa.zanzibar kuhusu wanavyouongelea muungano.yeye alitakiwa aanze kuidai tanganyika kwa sababu muungano hauna faida kwa Tanganyika.Sasa kama wazanzibari wakiacha kutufokea watanganyika basi tutaendelea kuumizwa na wazanzibar kwa kuchukua fursa zetu zote za tanganyika.Wazanzibar endeleeni kuwafokea watanganyika ili viongozi vilaza wa tanganyika wapate akili maana huwa wanajifanya wao hawazioni kero za muungano.yaani wao hawataki kabisa kuuongelea muungano hata kama unatuumiza sisi wazalendo wa Tanganyika.
 
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma amewaonya baadhi ya wabunge wa Zanzibar kujiepusha na kauli na mijadala inayoweza kuleta mgawanyiko na kuhatarisha Muungano wa Tanzania.

Musukuma ametoa onyo hilo Juni 16, 2026 bungeni alipokuwa akichangia mjadala kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2025, Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka wa fedha 2026/2027 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027.

Amesema viongozi wanapaswa kuwa waangalifu wanapozungumzia masuala ya Muungano ili kulinda umoja na mshikamano wa Watanzania.

Mbunge huyo pia amemuomba Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi kuchukua hatua dhidi ya mawaziri na wabunge wanaodaiwa kutoa kauli zenye viashiria vya ubaguzi.

Soma:
Safi sana
 
Msukuma ana akili nzuri.
Kuwa na akili ni jambo moja na kusoma ni jingine.
Hoja zake alizozitoa zina mashiko.
Wapo wasomi wa kiwango cha juu kwa vyeti lakini akili zao zimezidi za wanyama kidogo sana (kukariri tu kama kasuku).
Akili + Elimu ndiyo msingi wa maendeleo ya taifa lolote.
 
Tutamuaminije sasa?Aliwahi kusema nini juu ya Oktoba 29,utekaji, utesaji, ufungaji pasina makosa na uuaji wa serikali yake?Wanatucheza shere tu hao.Ni kupooza upepo.Tushikilie palepale hadi kieleweke.
 
Back
Top Bottom