Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Zanzibar, Khadija Nassoro Abdi, amewataka vijana na wananchi kwa ujumla kuwa makini na kile alichodai kuwa ni jitihada za baadhi ya watu na vyama kutumia hoja za Katiba pamoja na madai ya ubaguzi kati ya wananchi wa...
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma amewaonya baadhi ya wabunge wa Zanzibar kujiepusha na kauli na mijadala inayoweza kuleta mgawanyiko na kuhatarisha Muungano wa Tanzania.
Musukuma ametoa onyo hilo Juni 16, 2026 bungeni alipokuwa akichangia mjadala kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.