Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
I hope na huyu wamkamate na kuangalia mtandao ni kina naniMarekani kuna jamaa mmoja anaitwa vlad Ana podcast yake inaitwa vlad TV
Huwa anawahoji watu maarufu, wasanii nk
Wengine wakihojiwa wanafunga sijui nliuza unga,sijui nliiba nk
Kumbe feds wanafatilia interview zile,jamaa wengi wameokotwa
Ova
Ulishawahi sikia jayz akikiri hadharani kuuza cocaine
Ova
kweli mkuu. shule ni muhimu nimemsikiliza muda wakipindi umeisha anaombwa kustopisha mazungumzo bado anaendelea kun'gan'gania mike!!! nidhamu zero yuko on air anatamka neno "pumbavu"Akamatwe jinai haifutiki. Hii ndio tofauti ya tajiri mwenye shule na asie na shule
hapa ndiko tofauti ilipo kati ya mwenye elimu na asiye na elimu. mwenye elimu hawezi kiri huo upuuzi kwahiyo akiwa kama public figure anatushauri tuibe tuwe kama yeye? IdiotSijawahi iba wala dhulumu
Faulo za hapa na pale kawaida
Tatizo lako we hujaelewa point
Yangu,huwezi ukawa public figure
Ukaanza kusema,oh mm nliuza unga, niliiba,nliuwa,nilipora
Huo ni ujinga
Ova
Imepoteza pesa..Akamatwe.
Kwani mtu akitangaza hadharani kuwa alikuwa muuaji ila sasa ameacha serikali itamchekea tu?
Kama aliweza kutorosha mpaka kg 50 kwa mara moja , je, jumla katorosha gunia ngapi za dhahabu kwa kipindi chore?
Serikali imepoteza sh.ngapi?
Ni zaidi ya muuaji
Kaibe na wewe kuiba kipaji mkuuu [emoji57][emoji16][emoji16]we aungetoboa?Anamtembelea Gari ya 400M kumbe JIZI
404: Page Not Found
Ni JIZIKaibe na wewe kuiba kipaji mkuuu [emoji57][emoji16][emoji16]we aungetoboa?
Sema JPM alipitia mengi ndo maana alikuwa ana machungu..... yaani uhuni uhuni wote wa town hakuna kitu unaweza mdanganya. Ogopa sana dereva teksi wa usiku.Msukuma utampenda tu kumsikiliza hata masaa 10, jamaa kuanzia leo shabiki yake ni muwazi sana nani alikuwa anajuwa JPM alikuwa anaendesha Taxi usiku? andika kitabu msukuma ni hatari sana...
Pamoja na yote ilikuwa interview moja tamu sana, uzuri wa Darasa la 7 ni kuongea tu vitu kwa Uhalisia wake bila kuchuja maneno, kama Mlevi tu wa Whisky🤣🤣Mbunge wa Geita, Musukuma amesema alikuwa bingwa wa kutorosha dhahabu mpakani akibeba mpaka kilo 50 mwilini.
Musukuma amesema mwaka 1996 alikuwa na umbo dogo kimwili hivyo kuonekana kama mtoto, askari wakishusha watu kwenye basi ili wasachiwe, walikuwa hawasachi watoto hivyo alikuwa hakaguliwi kwakuwa alionekana kama mtoto japo alikuwa na mtoto mmoja tayari.
Kishimba
Musukuma amemtaja mbunge mwenzie, Kishimba kufungua ofisi ya kurudisha fedha kwani pia ilikuwa changamoto kuzifusha.
Kufilisika
Pia ameongea kufilisika mwaka 1998 baada ya kutapeliwa mpaka kuamua kutoroka kwani alikuwa anatafutwa na polisi ilhali yeye alikuwa anawaogopa sana. Alipotoroka alitelekeza familia na kuwa shoe shine Korongwe pamoja na kwamba alishakuwa mfanyabiashara mkubwa namba 3 Mwanza.
Kuibuka tena
Msukuma amesema kuna mfanyabiashara mpakistan alimsaidia wakati ana duka Mwanza, alileta ngano na TRA ikaishikilia na mpaka anafanikiwa kuitoa ilishaanza kuharibika. Ilipotoka akamtafuta msukuma ambae alifanya 'namna' ikauzwa nje. Msukuma amesema ile ngano alikopeshwa kwa miezi mitatu lakini alipouza tu alimlipa mhusika ndani ya siku 5.
Musukuma ameongea hayo leo July 6 wakati akihojiwa kwenye kipindi cha Power breakfast.
Hivi ukimsikiliza Musukuma unajifunza kitu gani?!
Huyo jamaa kwangu huwa ni bogus tu, anayetumiwa na wajanja kwa manufaa yao, tena wakati mwingibe hata kuweka rehani maslahi ya taifa.