Musukuma: Nilikuwa bingwa wa kutorosha dhahabu. Alifilisika na kuuza ngano 'inayoharibika'

Musukuma: Nilikuwa bingwa wa kutorosha dhahabu. Alifilisika na kuuza ngano 'inayoharibika'

Wewe ulitaka wale wanaosema nilianza na alfu 50 tu leo na billion fake people. Musukuma yuko real huwezi kuwa tajiri bila kupiga short cut hata hao kina Mo kama wataongea ukweli wamepiga sehemu..
Wewe pia ni MWIZI ndege wafananao huruka pamoja

404: Page Not Found
 
Jinai haina ukomo
Afunguliwe mashtaka haraka sana Ila kwa kua TANZANIA km alivyosema Rostamu ni Ina wanasheria, majaji na mahakimu wanasubiri kupokea simu kutoka Serikalini sijui km wataliona hili na kumfungulia mashtaka huyu MWIZI jangili haramia wa Mali za watanzania anakwiba na kujiwekea mwenyewe na kujitajirisha

404: Page Not Found
 
Amezungumzia pia jinsi walivyomuibia Muhindi na kumchomea duka Mombo, Tanga!?

JASILI HAACH ASILI. Hivi kweli huyu mtu kama kiongozi nategemea asitupige. Au mnaofikiri katosheka na huo wizi wake wa huko nyuma...!!?
Watu wana mafaili aisee duh
 
Ni kweli kabisa, kwakuwa sisi ni makondoo machafuko sio rahisi. Endelea kuomba ukondoo ushike kasi, kinyume na hapo lazima mshikishwe ukuta.
Watanzania wameridhika na maendeleo makubwa yanayoletwa na CCM ndomana hawana habari na vyama vichanga kama chadema!
 
Hawezi kukamatwa, hizo story za maisha yake nimekuwa nikisikia akiziongea kwenye vyombo mbalimbali vya habari zaidi ya miaka 6 sasa. Kama ni kukamatwa angaeshakamatwa toka wakati huo.
Wengine tumemsikia leo akijinadi kwa jinai. Kwamba hakukamatwa jana hakuzuii kukamatwa leo.

Zama mpyà tujipange na mawakili wetu wazalendo kuwaburuza wa namma hii mahakamani kivyetu vyetu.
 
Mbunge wa Geita, Musukuma amesema alikuwa bingwa wa kutorosha dhahabu mpakani akibeba mpaka kilo 50 mwilini.

Musukuma amesema mwaka 1996 alikuwa na umbo dogo kimwili hivyo kuonekana kama mtoto, askari wakishusha watu kwenye basi ili wasachiwe, walikuwa hawasachi watoto hivyo alikuwa hakaguliwi kwakuwa alionekana kama mtoto japo alikuwa na mtoto mmoja tayari.

Kishimba
Musukuma amemtaja mbunge mwenzie, Kishimba kufungua ofisi ya kurudisha fedha kwani pia ilikuwa changamoto kuzifusha.

Kufilisika
Pia ameongea kufilisika mwaka 1998 baada ya kutapeliwa mpaka kuamua kutoroka kwani alikuwa anatafutwa na polisi ilhali yeye alikuwa anawaogopa sana. Alipotoroka alitelekeza familia na kuwa shoe shine Korongwe pamoja na kwamba alishakuwa mfanyabiashara mkubwa namba 3 Mwanza.

Kuibuka tena
Msukuma amesema kuna mfanyabiashara mpakistan alimsaidia wakati ana duka Mwanza, alileta ngano na TRA ikaishikilia na mpaka anafanikiwa kuitoa ilishaanza kuharibika. Ilipotoka akamtafuta msukuma ambae alifanya 'namna' ikauzwa nje. Msukuma amesema ile ngano alikopeshwa kwa miezi mitatu lakini alipouza tu alimlipa mhusika ndani ya siku 5.

Musukuma ameongea hayo leo July 6 wakati akihojiwa kwenye kipindi cha Power breakfast.
Aache urogo hiyo ni chaiiiii
 
Roho ya kimaskini kabisa, wakija Jay Z wameuza hadi cocaine, on the way to the top mengi hufanyika wewe kama umechagua kuwa avarage kaa hapo.
Ulishawahi sikia jayz akikiri hadharani kuuza cocaine

Ova
 
Bado haiondoi ukweli kuwa wewe ni mwizi tu mkui[emoji23][emoji23]
Siwezi kuzungumza hadharanani

Kama ningekuwa public figure

Wanafahamika waheshimiwa kadhaa tu kabla ya kuingia ubunge wao walikuwa wanafanya magendo sana

Sasa kwa anachokizungumzia msukuma ina maana Ana wa motivate
Wengine,vijana wa sasa nao wafanye hivyo au!haya waited waone

Ova
 
Haya sasa kama wabunge walikuwa waizi mnategemea shetani akawa malaika?
Marekani kuna jamaa mmoja anaitwa vlad Ana podcast yake inaitwa vlad TV
Huwa anawahoji watu maarufu, wasanii nk
Wengine wakihojiwa wanafunga sijui nliuza unga,sijui nliiba nk
Kumbe feds wanafatilia interview zile,jamaa wengi wameokotwa

Ova
 
Siwezi kuzungumza hadharanani

Kama ningekuwa public figure

Wanafahamika waheshimiwa kadhaa tu kabla ya kuingia ubunge wao walikuwa wanafanya magendo sana

Sasa kwa anachokizungumzia msukuma ina maana Ana wa motivate
Wengine,vijana wa sasa nao wafanye hivyo au!haya waited waone

Ova
Mkuu nafikiri tatizo letu kubwa huwa tunahukumu ka kipengele kidogo.

Sikiliza stori nzima ndipo turudi hapa kujadili.
Mazungumzo yalikuwa mazuri sana tu.

Amesimulia alivyoanza maisha, changamoto na mafanikio...
Na akamalizia alianzaje siasa...na changamoto zake.

Tungemsikiliza nasema kweli wala tusingeona ameharibu
 
Akamatwe.
Kwani mtu akitangaza hadharani kuwa alikuwa muuaji ila sasa ameacha serikali itamchekea tu?
Kama aliweza kutorosha mpaka kg 50 kwa mara moja , je, jumla katorosha gunia ngapi za dhahabu kwa kipindi chore?
Serikali imepoteza sh.ngapi?
Ni zaidi ya muuaji
Hiyo confession si inatosha kumvua ubunge?...au ni mpaka awe ametiwa hatiani na mahakama.?
 
Back
Top Bottom