Musukuma: Nilikuwa bingwa wa kutorosha dhahabu. Alifilisika na kuuza ngano 'inayoharibika'

Musukuma: Nilikuwa bingwa wa kutorosha dhahabu. Alifilisika na kuuza ngano 'inayoharibika'

Tukisema CCM inajazwa na Wezi na wahujumu uchumi ili kulinda utajiri haramu muwe mnaelewa. Huyu ni mmoja tu kamtaja mhujumu uchumi mwenzie. Bado yule wa Sengerema, bado wa Bunda hajasema.
 
Hizo ni athari za chama kimoka kukaa madarakani muda mrefu kwa shuruti. Matokeo yake mifumo yote ya nchi inakuwa dhaifu ili kuendana na matakwa ya chama hicho. Matokeo yake kila muhalifu anajifichia humo kwani ana uhakika wa kinga ya dola. Mara nyingi machafuko ndio huondoa vyama vya aina hii madarakani.
Ndiyo maana yake na utashanga wakuu wa usalama wa taifa awalioni ilo jambo na kulitafutia ufumbuzi
 
Sijawahi iba wala dhulumu
Faulo za hapa na pale kawaida

Tatizo lako we hujaelewa point
Yangu,huwezi ukawa public figure
Ukaanza kusema,oh mm nliuza unga, niliiba,nliuwa,nilipora
Huo ni ujinga

Ova
Faulo za hapa na pale ni sawa na msukuma alivyokwepa kodi.

Hakumwibia mtu bali ulikwepa kodi tu.

Kisheria ni wizi lakini hajamwibia mtu
 
Mbunge wa Geita, Musukuma amesema alikuwa bingwa wa kutorosha dhahabu mpakani akibeba mpaka kilo 50 mwilini.

Musukuma amesema mwaka 1996 alikuwa na umbo dogo kimwili hivyo kuonekana kama mtoto, askari wakishusha watu kwenye basi ili wasachiwe, walikuwa hawasachi watoto hivyo alikuwa hakaguliwi kwakuwa alionekana kama mtoto japo alikuwa na mtoto mmoja tayari.

Musukuma amemtaja mbunge mwenzie, Kishimba kufungua ofisi ya kurudisha fedha kwani pia ilikuwa changamoto kuzifusha.

Pia ameongea kufilisika mwaka 1998 baada ya kutapeliwa mpaka kuamua kutoroka kwani alikuwa anatafutwa na polisi ilhali yeye alikuwa anawaogopa sana. Alipotoroka alitelekeza familia na kuwa shoe shine Korongwe pamoja na kwamba alishakuwa mfanyabiashara mkubwa namba 3 Mwanza.

Musukuma ameongea hayo leo July 6 wakati akihojiwa kwenye kipindi cha Power breakfast.
Mmmh kilo 50 hapo kanidanganya aisee
Na umbo Lake hilo
 
Sijawahi iba wala dhulumu
Faulo za hapa na pale kawaida

Tatizo lako we hujaelewa point
Yangu,huwezi ukawa public figure
Ukaanza kusema,oh mm nliuza unga, niliiba,nliuwa,nilipora
Huo ni ujinga

Ova
+1
Kuna misconduct haitakiwi ziwe hafharani kwa piblic figure kama mbunge , hata kama haiwezekani kukamatwa kutokana na ushahidi hautakuwepo ila msukuma alitakiwa akae kimya kwa matendo take ovu ya nyuma .
 
Hata akishtakiwa ushahidi wa sauti hauwezi kumfungs.
Hata hivyo Watanzanis wote ni wezi kuanzia wewe hadi mkuu kabisa nyumba nyeupe
Ninyi wezi kuhararisha wizi wenu ndii mnasema Watanzania wote ni Wezi?
 
Mbona Msukuma kaongea tu kama mwana CCM halisi...je uko tayari kuwakamata CCM wote kuanzia mkubwa kabisa hadi mdogo kabisa? Mbona kazi unayo!
Huwezi kumkamata kwa sababu ushaidi haupo, ila haileti picha nzuri kwa ccm na watu wao .
 
Siri Ya DP World kama alihongwa, ataisema Mwaka 2033. Halafu hao ndio wau tunawaamini eti ......
Mkuu hatuwaamini, bali inatumika nguvu ya dola kushurutisha tuwaamini, na hata tusipowaamini hakuna kitu tutawafanya.
 
+1
Kuna misconduct haitakiwi ziwe hafharani kwa piblic figure kama mbunge , hata kama haiwezekani kukamatwa kutokana na ushahidi hautakuwepo ila msukuma alitakiwa akae kimya kwa matendo take ovu ya nyuma .
Ndicho nlikuwa namwambia mkuu Glenn kuna mambo mengine hata kama ulifanya
Kwa wenzetu hapo angeshavuliwa madaraka,ila kibongobongo hapo anaonekana shujaaa

Ova
 
Usalama wa Taifa wanapatikana kwa njia zisizo wazi, kiasi kwamba viongozi wa chama hicho hicho chenye matatizo huweka watu wao, na ama kuwaagiza kufanya kazi kuendana na matakwa ya chama hicho.

Ndio maana nasema njia ya uhakika wa kukitoa chama cha aina hiyo madarakani ni machafuko, kwani kwa njia ya kura huwa haiwezekani.
Ndiyo tatizo ccm ni mavii [emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Hata kama nikicheza faulo siwezi

Zungumza mbele ya kadamnasi

Ova
🤣🤣🤣
Braza hapa Tanzania hakuna wa kumsema msukuma basi tu tunajifyatua.
Jamaa ni mkweli sana yuko kama wazungu.

Nikushauri hebu tafuta mazungumzo yake kwanza msikilize ndio urudi humu.
 
Akamatwe.
Kwani mtu akitangaza hadharani kuwa alikuwa muuaji ila sasa ameacha serikali itamchekea tu?
Kama aliweza kutorosha mpaka kg 50 kwa mara moja , je, jumla katorosha gunia ngapi za dhahabu kwa kipindi chore?
Serikali imepoteza sh.ngapi?
Ni zaidi ya muuaji
Ushahidi utautoa wapi
 
Mbunge wa Geita, Musukuma amesema alikuwa bingwa wa kutorosha dhahabu mpakani akibeba mpaka kilo 50 mwilini.

Musukuma amesema mwaka 1996 alikuwa na umbo dogo kimwili hivyo kuonekana kama mtoto, askari wakishusha watu kwenye basi ili wasachiwe, walikuwa hawasachi watoto hivyo alikuwa hakaguliwi kwakuwa alionekana kama mtoto japo alikuwa na mtoto mmoja tayari.

Kishimba
Musukuma amemtaja mbunge mwenzie, Kishimba kufungua ofisi ya kurudisha fedha kwani pia ilikuwa changamoto kuzifusha.

Kufilisika
Pia ameongea kufilisika mwaka 1998 baada ya kutapeliwa mpaka kuamua kutoroka kwani alikuwa anatafutwa na polisi ilhali yeye alikuwa anawaogopa sana. Alipotoroka alitelekeza familia na kuwa shoe shine Korongwe pamoja na kwamba alishakuwa mfanyabiashara mkubwa namba 3 Mwanza.

Kuibuka tena
Msukuma amesema kuna mfanyabiashara mpakistan alimsaidia wakati ana duka Mwanza, alileta ngano na TRA ikaishikilia na mpaka anafanikiwa kuitoa ilishaanza kuharibika. Ilipotoka akamtafuta msukuma ambae alifanya 'namna' ikauzwa nje. Msukuma amesema ile ngano alikopeshwa kwa miezi mitatu lakini alipouza tu alimlipa mhusika ndani ya siku 5.

Musukuma ameongea hayo leo July 6 wakati akihojiwa kwenye kipindi cha Power breakfast.
Jinai haipotei
 
Back
Top Bottom