Musukuma: Nilikuwa bingwa wa kutorosha dhahabu. Alifilisika na kuuza ngano 'inayoharibika'

Musukuma: Nilikuwa bingwa wa kutorosha dhahabu. Alifilisika na kuuza ngano 'inayoharibika'

Msukuma utampenda tu kumsikiliza hata masaa 10, jamaa kuanzia leo shabiki yake ni muwazi sana nani alikuwa anajuwa JPM alikuwa anaendesha Taxi usiku? andika kitabu msukuma ni hatari sana...
Ni flashback tu sioni pa kumlaumu.
Ana ushuhuda mkubwa sana wa upambanaji.
 
Amezungumzia pia jinsi walivyomuibia Muhindi na kumchomea duka Mombo, Tanga!?

JASILI HAACH ASILI. Hivi kweli huyu mtu kama kiongozi nategemea asitupige. Au mnaofikiri katosheka na huo wizi wake wa huko nyuma...!!?
Leo hii anaonekana shujaaa

Ova
 
Seriously, unatetea mwizi na kuhalalisha mate do yao!? Kweli Watanzania tuna safari ndefu. Kwa maana hiyo unabariki pia yeye kuwa kiongozi pamoja na rekodi mbaya kama hiyo!?
Wewe ndio una record nzuri, Tz hii nani wa kumyoshea kidole mwenzake. acha uhasidi hakuna msafi Tz hebu kila mtu aanike ukweli wake. Sio mwanasiasa, mchungaji, shekh sijui nani sote tunamadoa mwili mzima ni vile tunajifanya watakatifu tu kila mtu mpigaji na kama hujapiga ni vile nafasi hujapata tu.
 
Nchi hii mwizi fisadi anapewa heshima zote

Ova
Unajua ninyi mliokulia O'bay mliaharibu sana!! Mliishi maisha ya unyamwezini sana halafu unyamwezi wenyewe fake na si orijino. Mliiga maisha ya Dupree, DMX, Shabba Ranks, BIG,...BoysIIMen Mkasahau kuisha maisha ya kuja kukamata Uchumi wa nchi mkisaidiwa na sisi wa Kilimatinde, Simbangulu na kwingineko!!

Tusingechezewa !
 
Hivi jinai ina ukomo?

Akamatwe huyu hapo hapo studio na washirika wake kokote waliko na bila kuchelewa.

Kwamba DPP, mahakama au polisi wanasubiri au kuhitaji ushahidi upi?
Hawezi kukamatwa, hizo story za maisha yake nimekuwa nikisikia akiziongea kwenye vyombo mbalimbali vya habari zaidi ya miaka 6 sasa. Kama ni kukamatwa angaeshakamatwa toka wakati huo.
 
Wewe ndio una record nzuri, Tz hii nani wa kumyoshea kidole mwenzake. acha uhasidi hakuna msafi Tz hebu kila mtu aanike ukweli wake. Sio mwanasiasa, mchungaji, shekh sijui nani sote tunamadoa mwili mzima ni vile tunajifanya watakatifu tu kila mtu mpigaji na kama hujapiga ni vile nafasi hujapata tu.
Wewe kama ni mwizi, Anika wizi wako. Mimi sijamuibia mtu.
 
No wonder kashakuwa kwenye matapeli nguli ya kitaifa baada ya kionekana kinara wabkutetea mihujumu uchumi oliyojichimbia mizizi kwenye sakata jipya
 
Wewe ndio una record nzuri, Tz hii nani wa kumyoshea kidole mwenzake. acha uhasidi hakuna msafi Tz hebu kila mtu aanike ukweli wake. Sio mwanasiasa, mchungaji, shekh sijui nani sote tunamadoa mwili mzima ni vile tunajifanya watakatifu tu kila mtu mpigaji na kama hujapiga ni vile nafasi hujapata tu.
Tatizo Watanzania wengi wanaamini bila wizi au rushwa, huwezi kufanikiwa. Kwa akili kama hizi, Nchi hii kamwe haziwezi kuendelea.
 
Hata akishtakiwa ushahidi wa sauti hauwezi kumfungs.
Hata hivyo Watanzanis wote ni wezi kuanzia wewe hadi mkuu kabisa nyumba nyeupe
Sijawahi iba wala dhulumu
Faulo za hapa na pale kawaida

Tatizo lako we hujaelewa point
Yangu,huwezi ukawa public figure
Ukaanza kusema,oh mm nliuza unga, niliiba,nliuwa,nilipora
Huo ni ujinga

Ova
 
Unajua ninyi mliokulia O'bay mliaharibu sana!! Mliishi maisha ya unyamwezini sana halafu unyamwezi wenyewe fake na si orijino. Mliiga maisha ya Dupree, DMX, Shabba Ranks, BIG,...BoysIIMen Mkasahau kuisha maisha ya kuja kukamata Uchumi wa nchi mkisaidiwa na sisi wa Kilimatinde, Simbangulu na kwingineko!!

Tusingechezewa !
Hahaha

Ova
 
Back
Top Bottom