Musukuma: Tuanze na V8 za Mawaziri kuweka mfumo wa gesi ili kubana matumizi

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610

Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini, Joseph Musukuma ameishauri serikali ianze kufunga mifumo ya gesi katika Gari zote za mawaziri ili kuokoa gharama kutokana na gari hizo kutumia mafuta ambayo gharama yake ni kubwa ukilinganisha na gesi.

Musukuma amesema hayo leo Aprili 25, 2025 Bungeni jijini Dodoma wakati akichangia Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2024/2025
 
Hivi re-filling ya mtungi kwenye gari moja pale kituoni inachukua mda gani.?
 
Ma V8 yakiwekwa yakiwekwa gesi na mimi nitaweka kwangu
 
Tumpongeze mama kwa kutufikisha hapa...😊
 
hapo ndipo shida ilipo unakaa foleni masaa matatu
shida ya tz ndo hyo tunaanzisha ktu kwa mbwembwe ili uendelezaj hakuna, unapromote ktu kwa nguvu zote wakat huo una vituo sijui 2 vya refill kama sio uwendawazimu ni nn, wakitaka hii ishu ifanikiwe wajenge refill stations za kutosha pia waje na mobile refill stations, vinginevo hamna ktu
 
Yani mm nimekaa tuu nimekumbuka Foleni ya kituo flan ...maana haiwezekani uwe unasema una bana matumizi alafu umepoteza 3 hours kupata hiyo huduma. .. wakati huo huo somebody make more than 1 million ??
 
shida ya tz ndo hyo tunaanzisha ktu kwa mbwembwe ili uendelezaj hakuna, unapromote ktu kwa nguvu zote wakat huo una vituo sijui 2 vya refill kama sio uwendawazimu ni nn, wakitaka hii ishu ifanikiwe wajenge refill stations za kutosha pia waje na mobile refill stations, vinginevo hamna ktu
Ndio shida ya TZ promoting and branding tunatumia nguvu sana ...ila ku sustain na management ni zero kabisa
 
Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini, Joseph Musukuma ameishauri serikali ianze kufunga mifumo ya gesi katika Gari zote za mawaziri ili kuokoa gharama kutokana na gari hizo kutumia mafuta ambayo gharama yake ni kubwa ukilinganisha na gesi.

Musukuma amesema hayo leo Aprili 25, 2025 Bungeni jijini Dodoma wakati akichangia Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2024/2025
HUYU AKIPEWA UWAZIRI HIYO HOJA HATAISEMA TENA
NA KAMA KWELI ANATAKA SERIKALI IBANE MATUMUZI BASI IANZE KUPUNGUZA MISHAHARA YA WABUNGE
 
Kwa nini huwa mnasema hivi jamani?

Mkuu, hampendi serikali ibane matumizi
 
Back
Top Bottom