Musukuma: Tuliipenda CHADEMA ya Dkt. Slaa kwa sababu walipeleka bungeni hoja walizozitafiti kwa kina

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mbunge wa Geita vijijini Dr Msukuma amesema kabla ya kuingia kwenye siasa alikuwa ni mfuatiliaji mzuri wa mijadala ya Chadema bungeni.

Mijadala ya Chadema bungeni ilikuwa imeshiba na iliyofanyiwa tafiti za kutosha.

Source: TBC
 
Namkubali sana Dr Slaa ana uwezo mkubwa wa kufikiri na kuwakilisha hoja zake akaeleweka. Sidhani kama upinzani utakuja kupata mtu special kama yule hivi karibuni.

Anyways wale washikiwa akili watakuja na walichosetiwa kukisema sijui msaliti sijui kashawishiwa na mkewe ila ukweli utasimama daima.
 
Mgeipenda mgekuwa mnaifanyia figisu za ki mafia wakati huo hadi mlikuwa mnakaa vikao mnasema mtahakikisha vyama vya siasa hasa chadema mnaifuta kwenye uso wa dunia? Mgekuwa mnaipenda mgekuwa mnawasingizia kesi viongozi wake? mgekuwa mnaipenda mgekuwa mnawateka na kuwapoteza kabisa viongozi wake? Mgekuwa mnaipenda mgemhadaa huyo mzee wa kushindia tumihogo ili aje kwenu na aikache chadema?

Kipindi hicho nakumbuka chadema ndo ilikuwa haipendwi hata kuonekana mbele za viongozi wa chama chenu na ndo maana hata mwenyekiti wenu alifanya kila hila kuhakikisha kwamba wabunge wa upinzani hasa chadema hawaonekani kwenye vyombo vya habari(akalifungia bunge kabatini ili lisirushe shuguli zake kwa kuogopa kivuli cha chadema)......
 
Kuna Chadema ya Dr Slaa unaona kabisa awa watu unaweza hata kuwapa nchi ikawa salama.

Alafu kuna Chadema ya kina mdude, lema, sugu, msigwa, martin na utopolo wengine wao wanachojua ni matusi na kufedheesha wengine ukitazama hauoni kiongozi.
Pamoja na Slaa kutokuwepo Chadema bado mkaingia na maboksi ya kura zilizo kwisha pigwa ktk uchaguzi mkuu 2020 na kuengua wagombea wa upinzani ktk maeneo kibao. Huku mkimhofia Mbowe na kumpa kesi ya kubumba. Halafu mkaona haitoshi mkampiga Risasi Tundu Antipas Lissu ili mumuue.
Kweli nimeamini utafiti wa shirika la Twaweza uliosema kuwa CCM ina wanachama wengi mijinga.
 
Namkubali sana Dr Slaa ana uwezo mkubwa wa kufikiri na kuwakilisha hoja zake akaeleweka. Sidhani kama upinzani utakuja kupata mtu special kama yule hivi karibuni.

Anyways wale washikiwa akili watakuja na walichosetiwa kukisema sijui msaliti sijui kashawishiwa na mkewe ila ukweli utasimama daima.
Kwa hiyo mkuu unataka kusema wewe mnazidiwa na mstaafu Slaa??
 
Hizi sifa za kuvikana vilemba vya ukoka zinafahamika toka kwenye unafiki wa kila mwanaccm. Kwakuwa Dr. Slaa yuko ccm na haisumbui tena ccm lazima apakwe mafuta kwa mgongo wa chupa. Sasa hivi Slaa sio kiwanda cha uongo tena?
 
Mbunge wa Geita vijijini Dr Msukuma amesema kabla ya kuingia kwenye siasa alikuwa ni mfuatiliaji mzuri wa mijadala ya Chadema bungeni.

Mijadala ya Chadema bungeni ilikuwa imeshiba na iliyofanyiwa tafiti za kutosha.

Source: TBC
Dokta mihogo na Dokta mchawi bado wanaamini katika kuabudu maiti ya Magufuli, HAYAWANI alieshindwa kuifuta CHADEMA.

CHADEMA ipo, ilikuepo na itaendelea kuwepo.
 
Kuna Chadema ya Dr Slaa unaona kabisa awa watu unaweza hata kuwapa nchi ikawa salama.

Alafu kuna Chadema ya kina mdude, lema, sugu, msigwa, martin na utopolo wengine wao wanachojua ni matusi na kufedheesha wengine ukitazama hauoni kiongozi.
Kwa hiyo Slaa sio kiwanda cha UONGO tena. MaCCM akili zenu hazina akili kabisa kabisa.
 
Dokta mihogo na Dokta mchawi bado wanaamini katika kuabudu maiti ya Magufuli, HAYAWANI alieshindwa kuifuta CHADEMA.

CHADEMA ipo, ilikuepo na itaendelea kuwepo.
Kuna nani hayawani zaidi ya yule lafa anayeshikishwa ukuta kule ubeberuni? Dume unashikishwa ukuta kama siyo uhayawani ni nini?
 
Pamoja na Slaa kutokuwepo Chadema bado mkaingia na maboksi ya kura zilizo kwisha pigwa ktk uchaguzi mkuu 2020 na kuengua wagombea wa upinzani ktk maeneo kibao. Huku mkimhofia Mbowe na kumpa kesi ya kubumba. Halafu mkaona haitoshi mkampiga Risasi Tundu Antipas Lissu ili mumuue.
Kweli nimeamini utafiti wa shirika la Twaweza uliosema kuwa CCM ina wanachama wengi mijinga.
Kwa nini mnachoongea kinafanana wote..mnakalilishwa kama mazombi???
 
Back
Top Bottom