Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mpuuzi tu, kipindi Dr Slaa yupo CHADEMA walikuwa wana mtuhumu kusaliti kanisa leo wapo naye CCM wanapongezaMbunge wa Geita vijijini Dr Msukuma amesema kabla ya kuingia kwenye siasa alikuwa ni mfuatiliaji mzuri wa mijadala ya Chadema bungeni.
Mijadala ya Chadema bungeni ilikuwa imeshiba na iliyofanyiwa tafiti za kutosha.
Source: TBC