Musukuma: Tuliipenda CHADEMA ya Dkt. Slaa kwa sababu walipeleka bungeni hoja walizozitafiti kwa kina

Musukuma: Tuliipenda CHADEMA ya Dkt. Slaa kwa sababu walipeleka bungeni hoja walizozitafiti kwa kina

Duh, ukiona Msukuma kasema jambo, jua kunajambo linaandaliwa Huko CCM kwa ajiri ya mzee slaa.

Wampe tu. Mzee yupo vizuri Sana.
 
Namkubali sana Dr Slaa ana uwezo mkubwa wa kufikiri na kuwakilisha hoja zake akaeleweka. Sidhani kama upinzani utakuja kupata mtu special kama yule hivi karibuni.

Anyways wale washikiwa akili watakuja na walichosetiwa kukisema sijui msaliti sijui kashawishiwa na mkewe ila ukweli utasimama daima.
Umenena vema sana mh kibajaji[emoji122][emoji122]
 
Kwa hiyo Slaa sio kiwanda cha UONGO tena. MaCCM akili zenu hazina akili kabisa kabisa.
Nikishaona mtu kaweka kipicha cha Mbowe kwenye avatar... Uwa naishia kumkubali Mbowe kwa kuweza kushika akili za misukule wa kutosha yule mchaga kweli katumwa hela mjini.
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli leo hii slaa kaonekana mbaya ndani ya chadema kisa tuu kasimamia ukweli,
 
Sio siri hata mimi niliwapenda sana chadema enzi hizo, nilianza kutowaelewa chadema pale tu waliopoanza kumpinga JPM kwenye mambo ya msingi ambayo wao miaka nenda rudi waliyapigia kelele, mfano ununuzi wa ndege na issue ya madini.
 
Namkubali sana Dr Slaa ana uwezo mkubwa wa kufikiri na kuwakilisha hoja zake akaeleweka. Sidhani kama upinzani utakuja kupata mtu special kama yule hivi karibuni.

Anyways wale washikiwa akili watakuja na walichosetiwa kukisema sijui msaliti sijui kashawishiwa na mkewe ila ukweli utasimama daima.
Kifupi tu DKT SLAA akiwa CHADEMA alkuwa amezungukwa na mazwazwa
 
kweli kuna nyakati hata saa mbovu husema ukweli.
Inawezekana
JamiiForums1051490604.jpg
JamiiForums1122127668.jpg

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mbunge wa Geita vijijini Dr Msukuma amesema kabla ya kuingia kwenye siasa alikuwa ni mfuatiliaji mzuri wa mijadala ya Chadema bungeni.

Mijadala ya Chadema bungeni ilikuwa imeshiba na iliyofanyiwa tafiti za kutosha.

Source: TBC

Hivi chini ya yule Mkuu wa Malaika nafasi ya kukosoa,kujenga hoja,kushauri ilikuwepo !.

Sana sana tulishuhudia siasa za manunuzi yaani kuunga mkono juhudi,fursa za mikutano ziliondolewa ukikosoa mjengoni mpuuzi Ndugai anakutoa nje na ukiwa uraiani Wakuu wa Wilaya na Mikoa wanakushughulikia.

Musukuma ni kiongozi mpuuzi mjinga hana maana,kazi yake kubwa mjengoni ni siasa za kijinga za kuirejesha nyuma Tanganyika na sema Tanganyika kwasababu nchi inayoitwa Tanzania haipo bali usanii wa Nyerere ambao unaligharimu taifa la watu 58 million
 
Kuna Chadema ya Dr Slaa unaona kabisa awa watu unaweza hata kuwapa nchi ikawa salama.

Alafu kuna Chadema ya kina mdude, lema, sugu, msigwa, martin na utopolo wengine wao wanachojua ni matusi na kufedheesha wengine ukitazama hauoni kiongozi.
Sasa mtu kama Jiwe, Bashite na Saambaya waliweza kuwa viongozi wako, unachoshangaa ni nini?
 
Namkubali sana Dr Slaa ana uwezo mkubwa wa kufikiri na kuwakilisha hoja zake akaeleweka. Sidhani kama upinzani utakuja kupata mtu special kama yule hivi karibuni.

Anyways wale washikiwa akili watakuja na walichosetiwa kukisema sijui msaliti sijui kashawishiwa na mkewe ila ukweli utasimama daima.
Vipi anashindwaje kuijenga hoja za kukaa na wake zake???
 
Back
Top Bottom