johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuna Chadema ya Dr Slaa unaona kabisa awa watu unaweza hata kuwapa nchi ikawa salama.kweli kuna nyakati hata saa mbovu husema ukweli.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!kweli kuna nyakati hata saa mbovu husema ukweli.
Sasa kwanini asipewe ukatibu mkuu wa CCM ? maana sasa yuko hukoMbunge wa Geita vijijini Dr Msukuma amesema kabla ya kuingia kwenye siasa alikuwa ni mfuatiliaji mzuri wa mijadala ya Chadema bungeni.
Mijadala ya Chadema bungeni ilikuwa imeshiba na iliyofanyiwa tafiti za kutosha.
Source: TBC
Na wewe umekubali Kamanda?kweli kuna nyakati hata saa mbovu husema ukweli.
Pamoja na Slaa kutokuwepo Chadema bado mkaingia na maboksi ya kura zilizo kwisha pigwa ktk uchaguzi mkuu 2020 na kuengua wagombea wa upinzani ktk maeneo kibao. Huku mkimhofia Mbowe na kumpa kesi ya kubumba. Halafu mkaona haitoshi mkampiga Risasi Tundu Antipas Lissu ili mumuue.Kuna Chadema ya Dr Slaa unaona kabisa awa watu unaweza hata kuwapa nchi ikawa salama.
Alafu kuna Chadema ya kina mdude, lema, sugu, msigwa, martin na utopolo wengine wao wanachojua ni matusi na kufedheesha wengine ukitazama hauoni kiongozi.
Kwa hiyo mkuu unataka kusema wewe mnazidiwa na mstaafu Slaa??Namkubali sana Dr Slaa ana uwezo mkubwa wa kufikiri na kuwakilisha hoja zake akaeleweka. Sidhani kama upinzani utakuja kupata mtu special kama yule hivi karibuni.
Anyways wale washikiwa akili watakuja na walichosetiwa kukisema sijui msaliti sijui kashawishiwa na mkewe ila ukweli utasimama daima.
Dokta mihogo na Dokta mchawi bado wanaamini katika kuabudu maiti ya Magufuli, HAYAWANI alieshindwa kuifuta CHADEMA.Mbunge wa Geita vijijini Dr Msukuma amesema kabla ya kuingia kwenye siasa alikuwa ni mfuatiliaji mzuri wa mijadala ya Chadema bungeni.
Mijadala ya Chadema bungeni ilikuwa imeshiba na iliyofanyiwa tafiti za kutosha.
Source: TBC
Kwa hiyo Slaa sio kiwanda cha UONGO tena. MaCCM akili zenu hazina akili kabisa kabisa.Kuna Chadema ya Dr Slaa unaona kabisa awa watu unaweza hata kuwapa nchi ikawa salama.
Alafu kuna Chadema ya kina mdude, lema, sugu, msigwa, martin na utopolo wengine wao wanachojua ni matusi na kufedheesha wengine ukitazama hauoni kiongozi.
Kuna nani hayawani zaidi ya yule lafa anayeshikishwa ukuta kule ubeberuni? Dume unashikishwa ukuta kama siyo uhayawani ni nini?Dokta mihogo na Dokta mchawi bado wanaamini katika kuabudu maiti ya Magufuli, HAYAWANI alieshindwa kuifuta CHADEMA.
CHADEMA ipo, ilikuepo na itaendelea kuwepo.
Kwa nini mnachoongea kinafanana wote..mnakalilishwa kama mazombi???Pamoja na Slaa kutokuwepo Chadema bado mkaingia na maboksi ya kura zilizo kwisha pigwa ktk uchaguzi mkuu 2020 na kuengua wagombea wa upinzani ktk maeneo kibao. Huku mkimhofia Mbowe na kumpa kesi ya kubumba. Halafu mkaona haitoshi mkampiga Risasi Tundu Antipas Lissu ili mumuue.
Kweli nimeamini utafiti wa shirika la Twaweza uliosema kuwa CCM ina wanachama wengi mijinga.