Musukuma: Tuliipenda CHADEMA ya Dkt. Slaa kwa sababu walipeleka bungeni hoja walizozitafiti kwa kina

Mbunge wa Geita vijijini Dr Msukuma amesema kabla ya kuingia kwenye siasa alikuwa ni mfuatiliaji mzuri wa mijadala ya Chadema bungeni.

Mijadala ya Chadema bungeni ilikuwa imeshiba na iliyofanyiwa tafiti za kutosha.

Source: TBC
Mpuuzi tu, kipindi Dr Slaa yupo CHADEMA walikuwa wana mtuhumu kusaliti kanisa leo wapo naye CCM wanapongeza
 
Zamani
 
Mbunge wa Geita vijijini Dr Msukuma amesema kabla ya kuingia kwenye siasa alikuwa ni mfuatiliaji mzuri wa mijadala ya Chadema bungeni.

Mijadala ya Chadema bungeni ilikuwa imeshiba na iliyofanyiwa tafiti za kutosha.

Source: TBC
MPENI UBUNGE WAKO KAMA ULIMPENDA
 
Apewe Uenyekiti wa CCM TAIFA kama ana Hoja nzuri
 
Kuna Chadema ya Dr Slaa unaona kabisa awa watu unaweza hata kuwapa nchi ikawa salama.

Alafu kuna Chadema ya kina mdude, lema, sugu, msigwa, martin na utopolo wengine wao wanachojua ni matusi na kufedheesha wengine ukitazama hauoni kiongozi.
Halmashauri ya kichwa chako mbovu sana
 
Asante sana kwa kuwapa makavu live. CCM ni wapumbavu wa kuwango cha PhD
 
Sasa kwanini asipewe ukatibu mkuu wa CCM ? maana sasa yuko huko
Ccm wanafungua uzi asubuh wakimtukana padri mzinivu na jion wanafungua mwingine wakimsifia mzinifu huyo huyo.

Ndo yale yake wabunge wa ccm wanaulizwa mna njaa? eeeh, umeshiba? Eeeh!!
 
Kama waliiamini mbona hawakuwa wanazifanyia kazi hoja zao?

Matapeli tu.
 
Pale gaidi alipoitwa ikulu na mkuu wa nchi ulijificha kwenye kaburi la mwendazake nyuma ya uwanja wa ndege uliogeuka malisho ya nguruwe poti kule chato
 
Mbunge wa Geita vijijini Dr Msukuma amesema kabla ya kuingia kwenye siasa alikuwa ni mfuatiliaji mzuri wa mijadala ya Chadema bungeni.

Mijadala ya Chadema bungeni ilikuwa imeshiba na iliyofanyiwa tafiti za kutosha.

Source: TBC
la saba nalo jamani....hiiiiiiiiii πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Kuelekea Mkutano mkuu wa CCM, DR. Slaa ageuka KIPUSA ndani ya CCM.

Habari kamili UK 4
 
Mbunge wa Geita vijijini Dr Msukuma amesema kabla ya kuingia kwenye siasa alikuwa ni mfuatiliaji mzuri wa mijadala ya Chadema bungeni.

Mijadala ya Chadema bungeni ilikuwa imeshiba na iliyofanyiwa tafiti za kutosha.

Source: TBC
Muhuni tu huyu. Alikuwa mfuatiaji wa wapi kama siyo uongo tu.

Wakati Silaa anaingia Bungeni huyu Msukuma alikuwa ni Dalali wa Vocha za simu kwa Mhindi ..... Anyway, Dr. wa Uongo anamsifia Dr. wa Mihogo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…