Tizama Uzi wa FaizaFoxy kuhusu hiliKama wanamuogopa wamtengenezee account JF atapata ushauri wa bure bila kujua nani anamshauri
Umenena chief, naamini ushauri huwa unatolewa sana, ila utekelezaji ndio sifuri, hali sio poa kabisa huku Mtaani.Kupokea ushauri ni jambo jingine na kuufanyiakazi ushauri ni jambo jingine.
Punguza mauongo weweMsukuma na yeye amefilisika kabisa, amebaki na mabasi tena maroli matatu anabebea Mananasi kutoka Nzera Geita kuja Mwanza.
Hahaa..😂Mwambieni Rais ni kweli amefanikiwa kwani kwa sasa matajiri wanaishi kama mashetani lakini ajue wanyonge nao wanaishi kama misukule.
Musukuma baada ya kupigwa mnada Mali zake na bank ameamua kupingana na fikra za mwenyekiti za kusomeshwa namba.Kulalamika si fikra za mwanaccm yeyeto ukiwa ccm uruhusiwi kulalamika inatakiwa kuunga mkono KILA hoja ya mwenyekiti.Punguza mauongo wewe
Katiba inasema Rais halazimiki kuchukua ushauri wa yeyote yule...... Changamoto imeanzia hapoKuna clip ya Mh Musukuma nimeiona akitaka wahusika ie Waziri wa Fedha na Waziri wa Viwanda na biashara wamfikishie ujumbe mh Rais kwamba hali ya biashara ni mbaya kwani wafanyabiashara wengi wanazidi kufilisika.
Mh Msukuma hivi hizi sheria kandamizi za kodi zinazosababisha wafanyabiashara wanafunga biashara nani alizitunga?
Nakupongeza sana Mh Musukuma walau umeupata ujasiri ukalisemea lakini ninyi wabunge tuliowachagua wengi wenu mwanzoni wakati wafanyabiashara wanalalamika, badala ya kuwatetea ninyi mliwaita wakwepa kodi badala ya kuwasikiliza.
Mitandaoni na hasa humu JamiiForums watu walipiga sana kelele wakieleza namna TRA inavyowafilisi wafanyabiashara lakini ninyi kama wabunge mlikuwa wapi?
Msukuma umesubiri mpaka watu tunamefilisika ndio unaamka kutoka usingizini?
Ok, yaliopita si ndwele tugange yajayo lakini mwelezi rais ukweli.
Mwembieni Rais apunguze kutumia nguvu zaidi, mwambieni huku chini hali ya biashara ni ngumu.
Mwambieni Rais hao anaowaita wanyonge tegemezi lao ni matajiri ambao kwa sasa wengi wanapumulia gesi, sasa ajiulize hali za wanyonge zikoje kwa sasa?
Mwambieni Rais ni kweli amefanikiwa kwani kwa sasa matajiri wanaishi kama mashetani lakini ajue wanyonge nao wanaishi kama misukule.
Mwambieni Rais apunguze kuanzisha miradi mingi kwa wakati mmoja kwani hii ndio chanzo cha tatizo.
Miradi mingi ndio imeletelezea kodi kandamizi na wakati huohuo deni la taifa kuongezeka kwa kasi.
Mwambieni Rais sisi tunaongea wasioyapenda sio kwakuwa hatuipendi Tanzania,pia ajue sisi sio vibaraka wa mabeberu ila sisi tunaitakia mema nchi yetu.
Nimalizie kwakusema Waziri wa Viwanda na Biashara na Waziri wa Fedha kama wanamuogopa na wanashindwa kumshauri Rais ni vema wakajiuzulu.
Hawa Ccm huwa wana jitoa ufahamu kwa kutuona Watanzania ni mazuzu.Kuna clip ya Mh Musukuma nimeiona akitaka wahusika ie Waziri wa Fedha na Waziri wa Viwanda na biashara wamfikishie ujumbe mh Rais kwamba hali ya biashara ni mbaya kwani wafanyabiashara wengi wanazidi kufilisika.
Mh Msukuma hivi hizi sheria kandamizi za kodi zinazosababisha wafanyabiashara wanafunga biashara nani alizitunga?
Nakupongeza sana Mh Musukuma walau umeupata ujasiri ukalisemea lakini ninyi wabunge tuliowachagua wengi wenu mwanzoni wakati wafanyabiashara wanalalamika, badala ya kuwatetea ninyi mliwaita wakwepa kodi badala ya kuwasikiliza.
Mitandaoni na hasa humu JamiiForums watu walipiga sana kelele wakieleza namna TRA inavyowafilisi wafanyabiashara lakini ninyi kama wabunge mlikuwa wapi?
Msukuma umesubiri mpaka watu tunamefilisika ndio unaamka kutoka usingizini?
Ok, yaliopita si ndwele tugange yajayo lakini mwelezi rais ukweli.
Mwembieni Rais apunguze kutumia nguvu zaidi, mwambieni huku chini hali ya biashara ni ngumu.
Mwambieni Rais hao anaowaita wanyonge tegemezi lao ni matajiri ambao kwa sasa wengi wanapumulia gesi, sasa ajiulize hali za wanyonge zikoje kwa sasa?
Mwambieni Rais ni kweli amefanikiwa kwani kwa sasa matajiri wanaishi kama mashetani lakini ajue wanyonge nao wanaishi kama misukule.
Mwambieni Rais apunguze kuanzisha miradi mingi kwa wakati mmoja kwani hii ndio chanzo cha tatizo.
Miradi mingi ndio imeletelezea kodi kandamizi na wakati huohuo deni la taifa kuongezeka kwa kasi.
Mwambieni Rais sisi tunaongea wasioyapenda sio kwakuwa hatuipendi Tanzania,pia ajue sisi sio vibaraka wa mabeberu ila sisi tunaitakia mema nchi yetu.
Nimalizie kwakusema Waziri wa Viwanda na Biashara na Waziri wa Fedha kama wanamuogopa na wanashindwa kumshauri Rais ni vema wakajiuzulu.
Sio hivyo tuu. Ukikopa hela bank, Tra wakiziona kwenye akaunti yako, wanataka mapato. Bila kujua ni mkopo na sio pesa zako.Kosa dogo tu fine mlima.. kuliko hata mtaji..
Bunge na Waziri wa kihistoria
Sheria inayotumika ilipitishwa na kikao cha mwisho cha Bunge la utawala wa Kikwete; Mh Msukuma hakuwa bungeni kipindi hicho. Kipengele kinachoumiza watu ni Section 78 of TAA, 2015. Hicho kipengele kikirekebishwa maeneneo mengine ni uzembe wa mlipa kodi mwenyeweKuna clip ya Mh Musukuma nimeiona akitaka wahusika ie Waziri wa Fedha na Waziri wa Viwanda na biashara wamfikishie ujumbe mh Rais kwamba hali ya biashara ni mbaya kwani wafanyabiashara wengi wanazidi kufilisika.
Mh Msukuma hivi hizi sheria kandamizi za kodi zinazosababisha wafanyabiashara wanafunga biashara nani alizitunga?
Nakupongeza sana Mh Musukuma walau umeupata ujasiri ukalisemea lakini ninyi wabunge tuliowachagua wengi wenu mwanzoni wakati wafanyabiashara wanalalamika, badala ya kuwatetea ninyi mliwaita wakwepa kodi badala ya kuwasikiliza.
Mitandaoni na hasa humu JamiiForums watu walipiga sana kelele wakieleza namna TRA inavyowafilisi wafanyabiashara lakini ninyi kama wabunge mlikuwa wapi?
Msukuma umesubiri mpaka watu tunamefilisika ndio unaamka kutoka usingizini?
Ok, yaliopita si ndwele tugange yajayo lakini mwelezi rais ukweli.
Mwembieni Rais apunguze kutumia nguvu zaidi, mwambieni huku chini hali ya biashara ni ngumu.
Mwambieni Rais hao anaowaita wanyonge tegemezi lao ni matajiri ambao kwa sasa wengi wanapumulia gesi, sasa ajiulize hali za wanyonge zikoje kwa sasa?
Mwambieni Rais ni kweli amefanikiwa kwani kwa sasa matajiri wanaishi kama mashetani lakini ajue wanyonge nao wanaishi kama misukule.
Mwambieni Rais apunguze kuanzisha miradi mingi kwa wakati mmoja kwani hii ndio chanzo cha tatizo.
Miradi mingi ndio imeletelezea kodi kandamizi na wakati huohuo deni la taifa kuongezeka kwa kasi.
Mwambieni Rais sisi tunaongea wasioyapenda sio kwakuwa hatuipendi Tanzania,pia ajue sisi sio vibaraka wa mabeberu ila sisi tunaitakia mema nchi yetu.
Nimalizie kwakusema Waziri wa Viwanda na Biashara na Waziri wa Fedha kama wanamuogopa na wanashindwa kumshauri Rais ni vema wakajiuzulu.
Rafiki yake La Kairo yeye hotel ameifunga kabisa.Musukuma baada ya kupigwa mnada Mali zake na bank ameamua kupingana na fikra za mwenyekiti za kusomeshwa namba.Kulalamika si fikra za mwanaccm yeyeto ukiwa ccm uruhusiwi kulalamika inatakiwa kuunga mkono KILA hoja ya mwenyekiti.
Msukuma amebakia na mabasi matatu tu ya sufuria hana jeuri ya kuingiza hata mchina.