Musukuma usilalamike biashara za watu kufilisika. Bunge, ukiwemo na wewe, mna mchango mkubwa katika hili

Kodi zinariba siku hizi ukichelewa kulipa unapigwa riba usipolipia gari mda ukienda lipa utakutana na kodi na riba kubwa kuzidi gharama za kuagiza gari nje.
 
Sheria inayotumika ilipitishwa na kikao cha mwisho cha Bunge la utawala wa Kikwete; Mh Msukuma hakuwa bungeni kipindi hicho. Kipengele kinachoumiza watu ni Section 78 of TAA, 2015. Hicho kipengele kikirekebishwa maeneneo mengine ni uzembe wa mlipa kodi mwenyewe
Sheria za kodi zinabadilishwa kila mwaka wa fedha.
 
Mfano kama wewe umelipa kodi yako kwa wakati halafu ukajalipishwa faini ya TZS 300 million kwa sabu ETI hukupeleka karatasi za hiyo kodi uliyolipa itajisikiaje? Na kipengele wanachotumia ni Section 78, of TAA, 2015
 
Hukupeleka karatasi wapi? Nnachojua mimi kodi ujitaka kulipa unaingia kwenye mtandao wa TRA unaprint karatas ya kulipia kosha unapeleka hela bank. Bank wakipokea wanaipiga muhuri ile karatasi then unarudi nayo ofisini unafile then unawasubiri siku wakija kukagua.
 
Uliza watu wanaolipa SDL. Pamoja na taratibu ulizoeleza, kila mwezi unatakiwa upeleke ritani ya SDL na kama hukupeleka faini TZS 225,000 kwa kila mwezi uliochelewesha
 
Kama ni return sawa, ndo maana nkauliza karatasi ipi.
 
biashara zimekuwa ngumu pia mzunguko wake umepungua watu wanalinda tu mitaji , kama rais hatofikilia upya kuhusu hizi kodi basi mpaka 2025 watu wote watakuwa wanaish maisha magumu sana
 
Wakiguswa huwa na akili safi Sana bank kula kichwa mtu.
 
Attachments

  • VID-20210209-WA0015.mp4
    16.1 MB
biashara zimekuwa ngumu pia mzunguko wake umepungua watu wanalinda tu mitaji , kama rais hatofikilia upya kuhusu hizi kodi basi mpaka 2025 watu wote watakuwa wanaish maisha magumu sana
Matajiri wananyooshwa Ili waishi kishetani.Tunakula jeuri yetu ya kutosikiliza ushauri
 
Tanzania ni mahali pa hovyo kabisa kufanya biashara. Ukiwa na kiwanda, una kodi si chini ya 40.

Fikiria mpaka kuna kodi ya wakala wa vipimo kwaajili ya bodi ya lorry, na inaweza kufika mpaka 300,000 kwa kutegemeana na ukubwa wa lorry.

Hii nchi imekuwa kama hakuna watu wenye akili, wakaachiwa wajinga wasiojua chochote zaidi ya kuropoka maeneno gani waweke kodi kwaajili ya kuilipisha biashara ile ile na mlipaji yule yule.
 
Back
Top Bottom